Naombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza
kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
Mademu wa dar akitaka kuja geto unamtumia nauli Na akifika geto eti baby toka njee ulipe bodaboda Na akiingia geto eti baby sijala nataka chips anapotaka kuondoka eti baby hi hela haitoshi naomba...
Siku zima likemeka Home hakuna kazi yeyote anayo ifanya ata usafi Zero kazi tu kuagizia chips na kuangalia tamthilia same time wapo kwenye social media kama insta .badoo na tinder kuwachuna mabuzi...
Mabati Cornell Kiswahili Prize for African Literature: 2019
Call for Submissions
We are pleased to call for submissions for the 5th The Mabati Cornell Kiswahili Prize for African Literature. The...
Wakuu habari!
kichwa cha habari kinajieleza.
Nilikua naangalia sherehe ya kuagwa Dr.Kimei wa CRDB,sasa alipohojiwa Mwenyekiti wa Bodi akasalimiwa heshima yako nae akajibu 'heshima yangu ni nzuri'...
Habarini; Mimi ni mtunzi nguli wa mashairi ya kiswahili. Kwa muda mrefu sana nina hamu ya kushindana na watunzi wenzangu wa mashairi, nikiwa na imani ya kushinda.
Ila sijawahi kusikia wala...
katika king'amuzi cha startimes kuna channel ya *swahili kuna vipindi vinaandikwa PG na GE, mf kipindi kifuatacho kina kiwango cha PG au GE hivo kinafaa au hakifai kwa watu wenye umri flani, je...
Nimekuwa nikiuliza sana ,imekuwaje kizazi cha sasa hakigundui tena methal na nahau kama ilivyokuwa zamani! Nimetumia neno kugundua kwa kuwa nimekosa neno sahihi.
Je, ni kwanini methali ,nahau na...
Waungwana nauliza kama kuna mtu nakumbuka beti zote za shairi la WACHEZA BAO LA KETE WAONGO NA WAZANDIKI lililotungwa na Saidi Nyoka( Udogo si Hoja)? Natafuta Malumbano yao na Andanenga kuhusu...
Erev tov - Habari za jioni.
hatuwezi kuandika kwa zile alama maana keyboards za android hazina hebrew aphabets.
karibuni. sio lazima uwe unakijua, tumia hata google. Lugha hujifunzwa kwa...
Habari zenu wakuu, natumai mu wazima wa afya.
Embu tufahamu ni lugha ngapi tunazozungumza.
Binafsi ninaongea jumla ya Lugha saba (7).
1.Kiswahili (swahili)
Ni lugha ambayo ninaongea na kuandika...
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.
PRESENT SIMPLE...
RRONDO ndugu yangu kitu cha kwanza katika lugha ni lazima ujue alama kuu zinazoitambukisha lugha fulani ni lahaja na lafudhi
Lahaja ni namna ya utamkaji wa maneno na lafudhi ni namna uongewaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.