Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu habari, Jana wakati Mkuu wa nchi akizungumza na wafanyabiashara alisikika akitoa maagizo kua watumishi Fulani wakamatwe kisha 'wasondekwe ndani' Je neno ''kusondeka ndani"ni sahihi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nimeona kwenye Barua iliyoandikwa na ubalozi wetu nchini Oman na Muscat kwamba "Soft copy" Kiswahili chake ni nakala laini. Hebu wajuvi wa Lugha yetu hii adhimu tusaidieni kama tafsiri hii ni sahihi.
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndugu zangu wanajamii foram na wasalimu salamu za kimakinika. Mimi charity. Ninapenda sana kujifunza, kujua na kukuza uwezo wangu katika kuzungumza na kutumia lugha ya kiingereza. Nimatumaini na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naona watu wanatumia neno hili ktk maongezi yao sijajua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Pata maarifa ya kina kuhusu lugha ya Kiswahili kupitia tovuti hii >>>>>> https://mwalimuwakiswahili.co.tz/ Pakua App ya Mwalimu wa Kiswahili hapa 👉🏿👉🏿👉🏿...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je...
1 Reactions
27 Replies
50K Views
Mwaka jana nilikutana na neno Diaba, lile ndoo kubwa la kuwekea maji, sikuwahi kujua linaitwa hivyo hata hivyo sikuwahi kulitumia mpaka hiyo siku mimeenda kununua kwa ajili ya kuwekea taka
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News. Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Waheshimiwa wana jf naomba kuelimishwa kuhusu lugha zetu wanadamu hususuni watanzania wenzangu.Hapa nchini tuna makabila zaidi ya 120 na kila kabila wana lugha yao wanayoitumia kwa mawasiliano na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
karibu wanagenzi na wanazuoni wa kiswahili.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Amazima galokola..
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna tofauti gani baina ya maneno Usharika na Ushirika katika lugha ya kiswahili.
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa kuhusu msemo usemao "kata pua uunge wajihi" una maana gani katika maisha halisi. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam. Pambana na hali yako ...Kapambane na hali yako ...Kwani si upambane tu na hali yako ?! ...Umeshindwa kupambana na hali yako ?... Nini maana ya ukapambane na hali yako ? Ukakwibe ? Short...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista. Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE...
22 Reactions
223 Replies
17K Views
Kukicha au kukikucha? Haya maneno yamekuwa yakitumika mara nyingi sana ila sijui lipi ni sahihi na lipi sio sahihi. 1:Kukicha tu naanza safari. 2:Kukikucha tu '''''''''''’'"'''''’'''''’''...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Treat every part of your towel nicely, because the part that wipes your buttocks today will wipe your face tomorrow. Kwa lugha yetu = Tumia kila sehemu ya kitambaa chako vizuri, kwa sababu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tusaidie uhusiano uliopo baina yao,unaweza pia kutoa maelezo kidogo "Aisha introduces John as the son of the only brother of his father's wife. How is John related to Aisha?" Sent using Jamii...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wadau wa lugha naombeni maana ya neno yafuatayo kwa kiingeleza 1. Ukanushi 2. Yakinishi sent using [emoji85]
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Back
Top Bottom