Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu poleni na majukumu. naomba kufahamishwa au kujuzwa maana ya neno "TAHOJIA"
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari, wana JF. Naomba kujua maana ya neno "MZUNGU WA ROHO" Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Narudia tena. Hii salamu haifai kwanza inahusishwa na biashara ya utumwa kuendelea kutumiwa na mwafrika ni kumdhalilisha mwafrika. Pili huwezi jua nani uumpe na nani usimpe maana huwez kuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
EBIKOIKYO BYEKIAYA- (VITENDAWILI VYA KIHAYA) 1. Abake bahondela abangi— MAIZI 2. Abamulilo baikala nibalila—MWIKA 3. Abamwetwekile tibaikugamba wenene nagamba— NYUNGU ELIKUTOGOTA 4. Abana ba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, msaada kwa mwenye soft copy ya kitabu cha mashairi cha WASAKATONGE kilichoandikwa na Mohamed Seif Khatib Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
39K Views
1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa. Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu...
1 Reactions
53 Replies
45K Views
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo...
12 Reactions
574 Replies
68K Views
Habari wana jamii forums Ni muda sasa nimesikia hili neno MIAKA NA MIKAKA,Nini maana ya miaka na mikaka,hii ni methali au msemo?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hamjambo ndg zangu watanzania kwanza samahani kama nimeonesha ukabila katika kingereza kuna compound words mf. massmedia ambapo mass lina maana yake na media kivyake lakini yakiungana inaleta...
0 Reactions
83 Replies
34K Views
Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari Wadau wa Lugha ya Kiswahili! Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili. Nimekuwa nikijaribu kukieneza Kiswahili hasa kwa njia ya mtandao, hivyo nimeona si vibaya nikibadilishana uzoefu na wadau...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Hujambo mshika dau muhimu Leo nimekuletea swali la mjadala , je unafikiri nikwanini viongozi wetu, wadau, na watumiaji Wa lugha ya kiswahili wanaogopa kukipitisha kiswahili kuwa lugha ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za krismasi wakuu,nimekuwa nikisiakia methali hii LILA NA FILA HAVITANGAMANI naomba kuuliza lila na fila ni vinini
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Msaada wenu wakuu, naomba kujuzwa Rosemary kwa Kiswahili ni nini?? Nimejaribu ku search sikufanikiwa
0 Reactions
22 Replies
25K Views
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo. Veranda-BARAZA Cabinet-BARAZA La Mawaziri House of Representative-BARAZA La Wawakilishi Ward Tribunal-BARAZA La Kata...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni mateka wa hewani. Au mateka hewa. Mawazo mbadala yanakaribishwa.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha! Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi! Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya majina yote hutumika kumaanisha Makatibu wa Wakuu japo kwa Kiingereza utakuta yanaandikwa kwa style tofauti ndani serikali hiyo hiyo. Je kuna tofauti yoyote kisheria kwenye title hizo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom