Shairi hili ni la kwa wa ubani aumwaye.
Poa nipoe, kohoa nikohoe
Harija zote nitoe, ni bwage moyo Kaole
Zari na mgolole, wenye staha tuoe
Poa nipoe, nisijepiga mayowe
Maradhi faradhi, mimi yako...
Habarini wakuu, m nmependa kuleta kwenu hili neno, hivi neno "
MPUMBAVU'
ni tusi au siyo tusi , kwa jins wewe unavyolichukulia, sabab hili neno limetumika mpka kwenye vitabu vya dini i.e.bibble
Habari za kazi na siku waungwana,nimekuwa nikisoma baadhi ya mada naona neno 'popoma' huwa kuna baadhi ya wanaJF hupenda sana kulitumia lakini katika hali ambayo huwa linaelewekan kwa badhi tu...
msinione mjinga, ioa najiuliza tu.....
matusi ni nini?
Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama''
mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama...
Habarini za wakati huu wakuu..Hopefully mko salama..Nilikua naomba msaada wa kujua maana ya maneno yafuatayo kwa kiswahili.
1:Squeeze.
2:Squash.
3:Crumple.
4:Crush.
5:Shrink.
6:Press.
7:Wring...
*KISWAHILI* *BAHARI* *YA MAWASILIANO*
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana...
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba kama unataka Kusema au Kumsifia Mtu au Mnyama fulani kuwa haogopi chochote kile au lolote lile hapa duniani basi kwa kile Kiswahili chenyewe na cha Kitaalam...
ASANTE KWA KUNILIZA.
1.Nilijua nimefika,nawe utanituliuza
Wakufa na kunizika,leo tena waniliza
Mdomo naufunika,wala sitokuuliza
Asante kwa kuniliza,nakuombea baraka.
2.Japo chozi...
Issa Kitenge ni mmoja kati ya washairi wakubwa Tanzania lakini asiejulikana sana katika jamii ya washairi wengi.
Alizaliwa kunako mwaka 1929 katika mji wa Kigoma na baba yake alikuwa akijulikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.