Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Leo inanigharimu,kuleta kwenu andishi, Lahusu Kesi adhimu, Bodi ya CUF kughushi, Msome wote Kaumu, Jaji yake matamshi , Bodi ya Lipumba ghushi, imehukumu hukumu, 2. Kwa mujibu wa hukumu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana inakuwaje wazee?!! Mambo niaje,,,aisee namiss sana story za kitaa..kutimba kwa mangeli na manogo ya mastori ya kitaa... Kama vipi tulonge hapaaa... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Omuhangara –Januari Omwiraguzu – Februari Omwero gw’ilima-Machi Omuhingo- April Kaboza-Mei Omwiraguzu gw’echanda (Omwiraguzu)-Juni Omwero gw’echanda au ikira lya bukene- Julai Bukene- Augusti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Asilimia 80% Kiswahili ni lugha iliyozaliwa kutokana na kibantu na kiarabu,achilia mbali maneno mengine ya makabila na lugha zingine za kimataifa kama Kijermani na Kingereza. Kwanini watanzania...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hebu Pata Kumi Bora za Wahenga ________________________________________ Wahenga ni wazee wenye akili waliotutangulia maana siyo kila mzee ana akili kwa sababu hata wajinga wanazeeka. Mjinga...
3 Reactions
18 Replies
166K Views
Shindano la tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein limefunguliwa rasmi. Ewe mshairi uliopo Tanzania wasilisha tungo yako kabla ya tarehe 31/07/2018. Hakikisha unazingatia vigezo na masharti...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Wadau napenda kufahamu maana ya neno decommission kwa kiswahili Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekuwa naona vyombo vya habari hasa Magazeti wakitumia neno "Hairisha" likimaanisha (kwa kiingereza) postpone. Wataalam wa Kiswahili naomba mnisaidie neno fasaha ni Hairisha au Ahirisha...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Nini maana ya nahau "tia tashtiti?" Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Does anyone know the translation of this Taarab song. Apparently its in old Swahili? Thank you Beru lina marumba la vumba,*2, lambaje,lambaje beru siuganga,mume wangu kaogelea vumba , Lambaje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1.Waliiba waibaji,hata sasa wanaiba Kaibiwa mtungaji,moyoni kachomwa mwiba Walikaba wakabaji,wakamwachia msiba Kafa na lake moyoni,hakiye hikusikizwa. 2.Waliiba wanyonyaji,wakaiba wakashiba Yeye...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninavoelewa mie JK ni kifupi cha ama Julius Kambarage au Jakaya Kikwete. sasa ili kutofautisha mhusika wa kifupi hicho ni vema tukaachana nacho na kama tunataka kutumia vifupisho vya hawa viongozi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unapoongelea lafudhi ya kiswahili na baadhi ya misemo ya mtaani (japo si sana na kote) basi kwa Arusha kuna lafudhi nyingi. kuanzia KIkatiti,maji ya chai,usa,tengeru mpaka kufika maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwema wakuu,natafuta sehemu au chuo,kinacho fundisha lugha za asiri za hapa TZ, nataka kujifunza kimasai,kichaga na kigogo,kwa anaye jua wapi nitapata msaada wa lugha hizo,naomba taharifa.nipo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jamvi nimewasalimu. Leo naja na nyuzi ya kiitikadi kidogo tuweze kupeana ufafanuzi.
0 Reactions
29 Replies
12K Views
Hili neno huwa linatumika sana katika wakati wa ujazaji wa nyaraka mbalimbali mf. Mikataba ya ajira,hospitalini,mauziano ya vitu n.k. Swali langu naomba kuelimishwa "implication" yake hasa ktk...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Taabu kidogo kwa Vijana wa leo Lugha na maandishi yalivyo unaweza pata shida kumuelewa haswa nini kakikusudia kubandika, Unaweza pata rafiki tena akawa yupo chuo kikuu kabisa kabisa akawa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni ukweli usio na shaka lugha mama ya kiswahili ina uhaba mwingi wa maneno. Hali hii imesababisha kukopa baadhi ya maneno kutoka katika baadhi ya lugha, mfano mpaka leo binafsi sijui kinyume cha...
5 Reactions
94 Replies
7K Views
Naomba tafsiri ya neno hilo kwa kiswahili likitumika katika muktadha wa uandishi wa taarifa( report) au kitabu pale mwanzoni. Kwa mf Introduction Background Preface
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Back
Top Bottom