Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
Je, kiingereza kinakusumbua? Je,hujajua sehemu sahihi ya kujifunza kiingereza? Sasa anza nasi kujifunza kiingereza kupitia mtandaoni (WhatsApp) utajifunza kiingereza kwa kiswahili hi ni...
Transcriber/translator needed in Moshi.
Looking for an efficient and reliable transcriber/translator for Kiswahili interviews used in social science research. The research studies livelihoods of...
1.UTANIKUMBUKA
1, Nikazibeba dhihaka, kukusitiri na chuki.
Nikaitwa jina paka ,na mengi sana matusi.
Lawama nikajivika, nikazidisha juhudi.
Umenisahau...
Kuna mdau kanambia "I have many fishes to fly" akimaanisha ana mambo mengi ya kufanya. Kasema huu ni msemo wa englishi kumaanisha hivo. Wataakam wa lugha nisaidieni kama yupo sahihi
sent using...
Nimekuta mjadala kwenye daladala. Je ni sahihi mwanaume unapomwita kwa jina kuitika "RABEKAH"? Au anapaswa kuitika kuitika vp? Kuna ambao wanadai Rabekah wanaitika wanawake pekee.
Kuna wanaume...
Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili
Tena...
Wapo watu wangu wanaowaita hawa wahisani, wengine wakiwaita washika dau wa maendeleo, wakoloni au hata wapo wanawaita mabeberu.
Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?
For those who think English is hard, no way its very easy language just flow with this post i gave out few example of well understood sentences and phrases.
1) The bandage was wound around the...
wakuu mbalimbali
mlejee kichwa cha habari hapo juu.
kama kuna neno la kiswahili fasaha unalijua unaweza kuliweka ikipendeza litungie sentensi.
Nataka kuanza kuyaongea na Kuyaandika popote pale...
Mara kadhaa mmekuwa hamzingatii uandishi wa Kiswahili sanifu kwenye maelezo yenu ya picha. Ninyi ni miongoni mwa vituo bora kwa habari hizi 'wrong captions' zinawaharibia sifa, rekebisheni...
Kwa wenye uzoefu wa sheria na itifaki
His/her majesty najua ni Jalali (Mfalme) na Jalalati (malkia) mfano Jalalati Malkia wa Uingereza
His/her excellency (ukiwa unamzungumzia Rais)?
Right...
Nini maana ya neno kuoana?!
Nini Tofauti Kati ya kuchumbia/kuchumbiwa na kuposa/kuposwa?!
Mfano:-
Unasikia mwanamke/mwanaume(mwanamme) anasema Mimi na mke/mme(mume) wangu tumeoana.
Wanamaanisha...
Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali.
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.