Jamani kuuliza sio ujinga mimi nasoma humu ndani kila siku najiuliza hili ni tusi au nini leo naomba tuambiane huli neno maana yake ni nini na chimbuko lake pia KIGODORO!
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili kupitia vyanzo mbali mbali.
Moja ya neno lisilopewa kipaumbele kwa kutamkwa mara kwa mara ingawa ni la muhimu ni neno "kiate."
Neno...
Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali.
Mfano...
Heshima mbele wadau........Ni wazi hapa nyumbani ukanda fulani au makabila fulani yanatambuana na kutambulika kirahisi kwa lafudhi zao. Mifano ni mingi lakini akiongea Msukuma toka Shinyanga au...
Nilipokuwa shule (ya msingi) tulikuwa tunakumbana na maswali yanayondikwa kwa namna tofauti tofauti, mfano unaweza kuulizwa kuwa "Kokotoa mzingo wa mduara iwapo kipenyo chake ni mita mbili"...
I’m sorry if at times I come across as being too pedantic when it comes to English grammar and etc.
Sometimes I just can’t help it. I’m hardwired that way, I reckon.
Now look at this here! Where...
KUONYESHA na KUONESHA ni maneno ya kiswahili fasaha, maneno haya yamekuwa yakitumiwa tofauti katika mazungumzo yetu ya kila siku...
Nini mzizi wa maneno haya? Swali hili litaweza kutupatia majibu...
Habari zenu wana bodi.
Huwa najiuliza maswali lakini sipati majibu lakini leo naomba nanyi mnisaidie.
Tanzania tuna makabila mengi na haya makabila yanaongea lugha tofauti. Lakini pia tunaongea...
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu...
Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.