Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hii ina maana gani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ULIYENIROGA AA! Mgunda naliandaa, mkulima najituma, Naw'usisha Ulamaa, nipe mbinu za kulima, Kisha nilipe jamaa, anipandie sukuma, Mwisho napigwa butwaa, mazao yanachutama. Mbegu toka manispaa...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Umewahi kuwa na ndoto ya kuzungumza Kifaransa kama lugha ya mama? Usikate tamaa, unaweza kuomba mwalimu kwa njia ya mtandao akakufundisha ukiwa nyumbani kwako maana KIFARANSA ukipata mwl mzuri...
9 Reactions
79 Replies
15K Views
Utamu wa embe dodo, nawaambia vijana, Ni embe lisilo nyodo, mfano wake hakuna, Hamuye ninayo bado, kwa mengine mimi sina, Nimekula embe dodo, bolibo sitaki tena! Nilipoona bolibo, nilidhani...
5 Reactions
25 Replies
21K Views
Kwa mfano unataka utunge sentensi kwa kingereza inayosema "Thomas amechomokea shati na kufanya aonekane nadhifu"
0 Reactions
6 Replies
8K Views
KHA-KISA GIZA. 1.Hakika kuna machungu,kushuhudia ajali Eti amepanga Mungu,basi sisi tusijali Si Leo ni zama tangu,watu wanatupwa mbali Kha eti kisa ni giza,twasitisha kuopoa !. 2.Giza lazuia...
2 Reactions
2 Replies
800 Views
mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
TUPEANE MIKONO. 1.Tukipeana mikono,ni ishara ya upendo Kuna ua migongano,mikono funzo la jando Waonao mgangano,hao wana mbovu nyendo Nakupenda wanipenda,tupeane na mikono. 2.Tukipeana...
0 Reactions
2 Replies
518 Views
1.Kweli ulitupa tabu,tena tabu kubwa sana Tabu zilo na sababu,hasa ulipo tuchana Uliwasema vibabu,wazee hata vijana Mapoti na mabawabu,uliwaponda mchana Dada kuacha siasa,wazee tutapumua...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau za saa hz? Mie naomba kuuliza tu, hivi hili neno haki lina maana gani hasa? Unakuta mwanasiasa mpinzani anasema yupo tayari kufa kwa ajili ya kutafuta haki. Mwenye madaraka nae anasema...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1.Mwaka sita wa sabini,nyota ilianza waka Ulifika duniani,shujaa na wetu kaka Nuru yako maishani,ikaanza kumulika Twakukumbuka shujaa,mpambanaji Mawazo. 2.Ulofundisha Bondeni,vyema ukaelewa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nini maana yake ya -Mizimu... -Maraika... Na je, upi mwanzo wa -Maraika.... -Mizimu.. Nini tofauti ya -Mizimu.. -maraika Na je nini kazi ya -Mizimu -Maraika
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Habari zenu wadau! Ni watu wachache tu ndiyo wanaoelewa kwamba Wamisionari walichangia sana katika makuzi ya lugha ya Kiswahili has a Askofu Steer na John Krapf. Walipokuwa Mombasa mwaka 1844...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
TUKI wataalamu wa Kiswahili hii inawahusu. Hii misamiati inapaswa kubadilishwa ili kuendana na kasi ya mweshimiwa. 1. Mbunge....huyu awe ni mtu anayepaswa kuunga mkono serikali na ikulu kwa kila...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama ww mpenzi wa lugha ya kifaransa Ntakuletea jinsi ya kutumia kifaransa sanifu kwa kupitia Michezo nyepesi na Masuala mbalimbali. Leo nakuletea Verb "ETRE" Badilisha Makalima haya yawe...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
White ni Me au ke? Mi naona linawapendeza wanaume
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu na poleni Kwa majukumu ya kila siku ndugu zanguni. Husika na kichwa cha habari hapo juu najua kila mmoja wetu anataka kujua Ni kauli Gani??? Kauli hii "Tumemuhifadhi mahala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.Tulimponda fulani,kwamba anacheka cheka Kila siku yu angani,na madege anaruka. 2.Leo katua jamani,yule alofikirika Ukiuleta utani,ni fimbo anakunyuka. 3.Miguu katia ndani,myaka mitatu yafika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Nanena kimtang'ata,kwa lugha ya kiswahili Nachanganya kimvita,nikikanyaga pedeli Inuka ninakuita,ewe mwana wa mjoli Swali tena nauliza,soma chini kibwagizo. 2.Kisa una ndugu wengi,pwani le ya...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Back
Top Bottom