Lugha hadhim ya kiswahili sasa inakamata kasi ya ajabu katika nyakati hizi Afrika na dunia kwa ujumla, wakati juzi ndani ya mkutano wa wabunge wa Afrika mashariki na wageni mbalimbali kutoka nchi...
Kuna Haya maneno, naweza nikasema hayajawa professional kichwani mwangu maana nashindwa kuyaelewa na ni sehemu ipi sahihi katika sentensi yanafaa kukaa/kuyatumia..
As well as
&
As long...
Habarini wanajamvi naombeni kujuzwa na wale wataalam wa lugha hasa kimarekani hivi neno "https://jamii.app/JFUserGuide" linamaana gani ??, Je ni wakati upi yaani muktadha ili neno hutumika maana naona vijana wengi hutumia...
Kuna haja ya kujulishana misamiati mipya ya lugha yetu adhimu. Kila siku lugha yetu inakua na misamiati inaongezeka kila siku.
Hapa kuna baadhi ya misamiati, pia naomba ndugu zangu muongezee...
Habari za asubuhi ndugu wa JF. Kimsingi baada ya muda mrefu kupita bila kuzamia katika mtandao wa kijamii wa Facebook /uso wa kitabu nadhani ndio sababu iliyonifanya nishangae kuona hii misamiati...
KATIKA KUTEKELEZA SERA YA ELIMU BURE KWA WOTE:JIFUNZE ENGLISH
Kama inavyojulikana kuwa English ndio lugha kuu wa mawasiliano duniani hivyo pasipokujua English itakufanya ushindwe kuingia katika...
Sijui kuna nini kilichofichwa kwenye hii lugha ya kimalkia (English).
lugha zote duniani mswahili anaweza kuongea paspo wasiwasi nikamsikiliza vizuri lakini si kiingereza!
Yaani mswahili punde...
NISIKILIZE NYERERE.
1.Huku tunadanganyana,ya kwamba tunakuenzi
Na mbali wameikana,wajali kiti cha enzi
Tasema tena na tena,Hata kama kwa utenzi
Nisikilize Nyerere,kwa hili hauenziwi...
JE!HUENDA MRISHO MPOTO (MJOMBA)ANAUSHANGILIA UTAWALA WA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWA WIMBO WAKE MPYA WA "NIMWAGE RADHI"?.
Hivi karibuni Mwanamuziki Mrisho Mpoto(Mjomba)ametoa wimbo wake mpya...
ZIMWI LA DAR!
Kwanza naanza kwa dua, Yarabi nisimamie,
Moyo nakuinulia, roho wako nivuvie
Hekima busara pia, nazo unikirimie
Pamwe na Watanzania, yao nchi watetee
Zimwi limeteka Dar, limejivika...
Neno la Mungu linasema katika Yoshua 1:5 Hapatakuwa na mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe...
Nimekuwa nakutana na sentensi hizi kwenye uandishi wa watu na huwa zinanipa wakati mgumu kujua kama ni sahihi pale mwandishi anapotaka kuelezea
wingi wa MPANGO MKAKATI.
-MIPANGO MIKAKATI
-MIPANGO...
1.Kunavyo vingi vizuri
Vizuri vino pendeza
Vyang'ara nakuvutia
2.Vipo kwenye jiji zuri
Lilojawa na mwangaza
Kama utaliingia.
3.Taona mengi mazuri
Ambayo yanashangaza
Miguu ukiitia.
4.Utapofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.