Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naomba nipate msaada juu ya hili kuna tofauti yoyote juu ya maneno haya LENGO na DHUMUNI
0 Reactions
8 Replies
6K Views
1)Namanga hadi Holili,tunarejea nyumbani Twarudi na zetu hali,na furaha vifuani Safari yetu ya ghali,ila bado na imani Tutaporudi nyumbani,tutakutana na Melo. 2)Tutapeana mikono,na kukumbuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pamoja na mazonge yake yote bado Jamaa alikikubali kiswahili.
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Cool fact About English Language 1.No word in the English language rhymes with month, orange, silver, or purple. 2. The "sixth sick sheik's sixth sheep's sick" is said to be the toughest tongue...
1 Reactions
4 Replies
875 Views
Jamani,kama kuna mwana jamii anajua tofauti ya maneno haya: FEDHA,HELA na PESA, tusaidiane. Cc Kiranga FaizaFoxy Madame B. =========== Huitwa ‘Fedha’ wakati mwingine huitwa ‘Pesa’ na wengine...
0 Reactions
29 Replies
20K Views
Hamjambo wanajukwaa, jamani naomba mniambie translation ya jina "dead end" kwa lugha ya kiswahili... Majibu[emoji116]
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Shairi langu natunga, kuwapa pole raia, Na nyinyi tunajiunga, sote huku tunalia, Kukumbwa na hili janga, pole kwa zao familia, Poleni wa Tanzania, ajali haina kinga. Ajali haina kinga, poleni wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu,methali hii imekua ikinitatiza kujua maana yake 'Kata pua uunge wajihi' Ahsanteni.
1 Reactions
10 Replies
12K Views
MOYO WA CHUMA. 1.Jina jipya tumepewa,Yanga tunaitwa chura Hatuna tena ngekewa,Simba azidi parura Ila kweli twaonewa,kisa twakosa ngawira Kuishabikia Yanga,uwe na moyo wa nondo. 2.Ama kisa jezi...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Wakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Mzuqa Nimeshikwa na kichomi hapa mzigoni yani kimenikalisha. Msaada kwa kiingereza kinaitwaje? Nimecheki kwenye google translate eti cinnamon wakati cinammon ni ile aina ya spices. Google...
4 Reactions
78 Replies
18K Views
Nimejaribu kutafsiri kwenye google langunge tool imeleta kiswahili hiki nimecheka sana... When I stepped into the house I saw this very very beautiful girl with a wonderful smile I never stop...
0 Reactions
4 Replies
26K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa utaraibu wa kuomba nje (kuapply) vilevile mambo ya...
0 Reactions
3 Replies
828 Views
So far watu kumi wameshachangia... So far tupo wanachama 20.... Of course nimepitishia bandari ya mombasa...why not Bwana. . Hahaha worry not ntaclear hii balance... Check na mtu wa jikoni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya maneno yana maana gani kwa jinsi yalivyotumika kwenye hizi methali? 1. Kisokula, sera, nale => (Kisokula mlimwengu,sera nale) 2. Konzo => (Konzo ya maji haifumbatiki) 3. Lila, fila => (Lila...
1 Reactions
7 Replies
23K Views
Kiingereza nii lugha ngumu kwa wengine na kwa wengine ni lugha rahisi sana, wanavyoita vitu kwa majina waingereza wanatofautiana kidogo na wamarekani ebu ona tofuti na ujifunze kitu ili cha...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Hotuba yake ya Mwanza, ya Raisi Magufuli, Ndege ameleta kwanza, sasa ataleta meli, Hakujali kila kinza, Raisi katawakali, Kwanza ndege sasa meli, Raisi twampongeza. Raisi twampongeza, daima...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiingereza, kiswahili kinatesa watoto- Utafiti Tuesday, 14 December 2010 20:37 Hussein Kauli UTAFITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Asalaam wakuu Kumekuwa na mitazamo mingi na ukinzani wa fikra juu ya neno muda. Hadi sasa hakuna tafsiri wala maana moja inayoelezea neno muda ambayo imekubalika kwa wanazuoni wote. Baadhi...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Habari wenzangu, Nina swali juu ya kiswahili ifuatayo: (1) Je, kuna mtihani ya kiswahili ya kuthibitisha kiwango cha lugha? Kwa mfano kwa kiingereza huwa TOELF ama IELTS zinatumika. Pengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom