Karibu ujifunze Kiingereza
Kozi hii ni mfululizo wa vijitabu vya kufundishia Kiingereza cha kawaida cha kuongea. Katika vijitabu hivi, utakuta mazungumzo ya Kiingereza, tafsiri, maelezo na...
Hello wadau wa lugha. Nataka kumfundisha course ya kingerezamdogo wangu aliyehitimu darasa la saba . Sasa sina materials. Wenye vitabu vizur vya english course naombeni mnisaidie. Natanguliza shukrani
Wakuu, ni kwa nini kizazi hiki cha sasa kinaona ugumu kutumia herufi H kiusahihi? Neno Habari linaandikwa Abari, Hujambo inaandikwa Ujambo, Hayupo inaandikwa Ayupo. Mengine mtaongezea.
Mwanzoni...
Leo nilikuwa naangalia habari KTN lakini niliona kiswahili kilichonifanya nifikirie.
Kwenye habari yenyewe ni kwamba pale walipotaka kutangaza idadi ya vitu katika @Percentage walikuwa...
kwa kutumia kiswahili fasaha, Tunga sentensi nzuri yenye neno " Giza limeingia"
Atakayetunga sentensi yenye like nyingi nimeandaa zawadi ya weekend!!!!
Huu usemi nimeamini baada ya kutoka kwa ajali za Mv Bukoba na Mv Nyerere ukiwa na maana ya meli/mtumbwi uzama/ uharibika pindi unapokaribia kufika kwa kweli wahenga waliona vingi.
HII NDIYO MAANA HALISI YA NENO KATERERO
Rafiki yangu mpendwa, naandika maneno haya nikiwa na uhakika kuwa yatakufikia na kuweza kukutoa katika kifungo cha mawazo. Ni wajibu wangu na ni haki yako...
Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!!
Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili.
Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine...
Si mmesikia wimbo mpya wa Sauti Sol - Tujiangalie? Naona huu wimbo una maana nyingi juu ya historia na mwelekezo wa Kenya. Kuna mtu hapa mstadi wa Kiingereza ambaye anaweza kujaribu tafsiri...
Kiingereza cha kiTanzania
Wapendwa wana JF na wale wote wenye mapenzi mema na nchi yetu Tanzania; hapa ulimwenguni katika nchi zote zilizotawaliwa na mwingereza takriban kila moja ina...
Tusaidiane kuna baadhi ya maneno yamekuwa na mkanganyiko,Wataalam wa Kiswahili tunaomba mtusaidie jinsi tunavyowaita watu hawa:
1.Mtoto wako anamwitaje Bibi yako?
Watu wengi wamekuwa wakisema...
"Mimi huwa sisemagi ukweli"
Naomba mniambie hiyo sentensi hapo juu ina maanisha kuwa huyo jamaa ni mkweli?
Na kama ni mkweli, kwanini hapo kaongopa?
Na kama sio mkweli, maana yake anasemaga...
Sasa hivi kila kona ukipita utasikia "Damshy" Si makanisani wala Misikitini kote huko utasikia "DAMSHY". Si Wamama wala Wababa kila mtu anasema "DAMSHI"
Hivi hili neno limetoka wapi na maana...
Je, ni sahihi kukiweka hapa? Au maana nimetamani pia wanajukwaa tuburudike pamoja. Kitabu cha mashimo ya sulemani nikitabu bora sana japokuwa ni cha kizamani sana.
Habari za wakati huu, niende kwenye Mada ninaishi na mmiliki wa nyumba mmakonde hajui kuzungumza lugha ya watanzania kila wakati anazima taa usiku. Tumeshindwa kuelewana lugha ya kiswahili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.