Halo JF habari mchanganyiko.
Juzi nilikuwa na watasha ama wazungu sehemu. Moja alikanyanya jiwe dogo na kuteleza nusura aanguke.
Nilishindwa kabisa cha kuongea kwa kumpa pole baada ya neno pole...
Eti ivi ikitokeya Ali kiba akaenda kutumbwiza South Sudan ao mayotte ..ataimba kitu gani ili waweze kumuelewa?? Ao atabana puwa ajikamuwe hadi wamuelewe kama anaimba like Madonna?
voodoo economics
noun
INFORMAL•US
an economic policy perceived as being unrealistic and ill-advised, in particular a policy of maintaining or increasing levels of public spending while reducing...
Hili bila shaka lilikuwa fumbo kubwa sana , maana katika hali ya kawaida hakuna binadamu anayekula nyama za watu , na kwamba akinogewa ataendelea kuwatafuna tu binadamu wenzake hili si la...
Akutendeae Mema, Kushukuru ni lazima
Jaza ya mema ni mema, Maovu kutoyatia
Mbona umeghafilika? Kwa jambo lisilo shaka?
Shetani umemshika, Na kumuacha Nabia?
Unajifanya Mtesi, Kwa Mola wako Mkwasi...
Habarini wadau....
Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri...
Wasalaam wakuu
Nikiwa napita pita mitandaoni nikaona lyrics ya wimbo wa Sauti Sol short and sweet
Lyrics hiyo imetafsiriwa Kiswahili lakni ni kuangalia kwa makini maana ikawa imepotea, wimbo...
Ndugu zangu liko shairi moja niliwahi kusimuliwa zamani. Kwa bahati mbaya aliyekuwa anasimulia alikuwa mlevi mmoja na pia mimi nilikuwa mdogo sasa sikumuuliza jina la shairi wala mtunzi wake...
TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2019
Utaratibu wa Kushiriki
Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya...
Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani .
Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika
Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama...
Habari wana jamii forum.
Lengo la uzi huu sio kudhihaki au kejeli bali ni kutoa elimu na kukumbushana kuhusu misemo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Kama wewe ulisoma shule ya msingi kama Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.