Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Oats zinaitwaje kwa Kiswahili? Na wapi zinapatikana kwa bei rahisi, zisizo kwenye makopo.
1 Reactions
6 Replies
57K Views
Naomba kujua tofauti ya maneno haya Criticism Arguments Blaming Critical points Je ni nini utofauti wake na lugha gani inapaswa kutumika ili kusadifu kwamba upo katika kundi hilo? Mfano katika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu! Siku hizi ninafanya utafiti wa lugha zinazotumiwa na makabila nchini Tanzania na Kenya. Tafadhali nisaidie kutaja majina ya lugha hizo. Shukran
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hellow Bosess Leo nimevutiwa na nukuu moja kutuka kwenye kitabu cha kiswahili nimeiona kwenye post ya Kapula la Marx (nimesahau kidogo jina, nimeutafuta ule uzi sijauona tena) Noamba kujua ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nahisi lugha ya Kifaransa ipewe uzito wake maana ni nyepesi kujifunza kuliko Kingereza.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Bonjour! bonjour! bonjour!! Hello! hello! hello!! Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wakuu mimi ni mwanafunzi kujifunza Kiswahili nchini China. Mimi nahitaji kamusi za Kiswahili lakini nimeshapata moja tu. Maswali matatu: La kwanza: huko Tanzania watoto wa shule za msingi...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Habari wanajamii forum! Tafadhali naomba tafsiri sahihi ya redio jamii. Tofauti yake na redio nyingine ni ipi?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wakuu uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kujua maana mbalimbali za maneno tata. Mfano: KATA - Kata mti | Kata kiuno Nipe neno na wewe lenye maana zaidi ya moja.
1 Reactions
16 Replies
10K Views
KISULISULI. Mwashinda bure maombi,mkiyapiga magoti Hamjui Kuna dhambi,kubwa ya kuomba noti Kutwa mnaweka kambi,mje mmiliki boti Pepo za kisulisuli,zilivuma zikaganda. Watu mnaombwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi lakini haya maneno kama huwa yanatatiza. Hivi mtu akisema ananifahamu na mwingine akasema ananijua. Wanaweza kuwa na maana sawa? Au yanatofautiana wapi. Je...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
klabu ya As Roma ya nchini Italia kupitia ukurasa wake wa tweeter, imedokeza kuwa hivi karibuni watakuja na ukurasa mwingine wa kijamii ambao utakuwa unaendeshwa kwa lugha ya kiswahili. ndugu na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanabodi, Lugha ni nyenzo kuu ya mawasiliano, na ukitaka umkamate mtu vizuri mwezeshe aifahamu lugha yako ili aione ndo lugha ya kistaarabu kuliko lugha yake, na ili kuimarisha mawasiliano na mtu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilipata kumsikia mtu akisema hangependa aitwe "mswahili". Nikapatwa na maswali mengi kichwani kwani mtu huyu alikua mzawa, mweusi na anaishi DSM. Kabla sijamtaka undani kwa kauli yake hii...
0 Reactions
215 Replies
99K Views
Wakuu wa lugha naombeni kiswahili cha neno Density.
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Wakuu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo. Inaonekana nimepitwa na wakati kidogo kuhusiana na hili neno "kujimwambafy". Nimekuwa not kilisoma sana hapa karibuni na sielewi kabisa linamaanisha nini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Maintenance. Actions performed to keep some machine or system functioning or in service. [wiktionary]. Tusichangananye maana na matengenezo Repair. To restore to good working order, fix, or...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habarini wakuu, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna huu msemo uliozoeleka wa "utakiona cha mtemakuni" huu ni msemo wa kuonya au kutisha kuwa usipofanya kama ulivyoelekezwa...
3 Reactions
7 Replies
7K Views
Hii sio sahihi, Kama na wewe una neno ambalo sio sahihi tafadhali tujulishe pia 1 Chips mayai = Viazi na mayai 2 Shule ya Sekondari = Shule ya upili 3 Tochi= Kurunzi 4 Dingi = Baba 6 Kompyuta =...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom