Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nimekuwa nikifuatilia uandishi wa Waandishi mbalimbali wa Habari na watumiaji wa mitandao hii ya kijamii. Kumekuwa na uandishi mbovu wa lugha ya kiswahili lakini Baraza lipo kimya bila kukemea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SHAIRI :: MAKINIKA UTAPATA JIBU KWA DR SAUL KALIVUBHA ( nitapataje mkamilifu) 1 Yakaribie maziwa, nasaha nitazikupa Na mikono yako nawa, wala usiwe na pupa Uwaweza kuchaguwa, ila uwapata dupa...
2 Reactions
7 Replies
870 Views
Nimekuwa nikizunguka sehemu tofauti tofauti. Nikaja kugundua kitu kibaya mno hivi sisi Watanzania au watu weusi ni specimen au tupo laboratory tunafanyiwa uchunguzi maana our id, imekuwa ikifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1.Japo wengine walalama,Huku wengine wasifu, Serikali imesimama,Japo si takatifu, Maendeleo kuleta,Sio kazi ya kubeza, Serikali ya wanyonge,Wanyonge waneemeka?! 2.Madudedude twaona,Twasema...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ubeti wa kwanza: Ni corona inapita, hata ukunje zo ndita, Hakuna alo-iita, labda ni wewe pita, Na uchumi wazorota, wapi pesa nitapata. Nilichobakiwa nacho, barakoa mdomoni. Ubeti wa pili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hodi humu. Juzi nilikuwa kwenye dala dala, na ilikuwa imejaa sana. Bahati mbaya mkaka mmoja alimkanyaga mdada kwa bahati mbaya. Yule mdada akaja juu kweli, lakini yule mkaka akajishusha akaseme na...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Kuna wadada wakawaida..ila utawatamani. Ukiwatazama unashiba..unajiona wathamani. Ni nzuri yao haiba..hawataki tafrani. Maneno yao ni tiba..yanatupa ahueni. Mapenzi yakuiba..hawayataki asilani...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Helloo wataalam wa lugha ya kisukuma naomba mnitafsirie maneno haya kwa kisukuma. "Mungu akupe maisha marefu mke wangu mpenzi" Cc: J P Magufuli
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu, ninahitaji kujua matumizi hasa ya -to- na -ta- . Je ni sahihi kutumia maneno mfano "Kama hutojali" badala ya "Kama hutajali" au "Sitosahau" badala ya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sync Canvas Links yani zile URL. Reading Plus Kwa kiswahili FaizaFoxy
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi kwa wana jamvi wa JF, matumaini yangu muwazima wa afya .Straight to the point ninataka kuandika novel, sasa ninaomba mtu yoyote mwenye basics za novels anijuze. GLU™.
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Hii Ni tahadhali Kama ilivyotolewa na uongozi wa JF; "Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo kwenye Kisima cha Maji Nina madumu mawili, moja lina ujazo wa lita 5 na lingine lina ujazo wa lita 3 Nitawezaje kujaza moja wapo kwa lita 4 kamili?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Korona imetushinda,yatutia sononeko Mazao tuliyopanda,bangi miraa tumbako Kuuza tunapoenda,wateja hawapo soko Eti ndiko kuzuia,Korona isizagae. Magunia ya makaa,tulochoma msituni Siku mbili...
0 Reactions
3 Replies
495 Views
Likizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
488 Views
KORONA INA FAIDA Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari...gari...gari...gari..!! Una nini wewe? Gari hata kama chakavu,heshima hukupatia, Haijalishi uwe mkubwa hata mdogo pia, Dunia yote inatambua,matajiri na masikini pia, Afrika bara langu,hivi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu zangu nisaidieni namna ya kukipata kitabu cha spoken English. Kina jalada la jeupe na weusi, picha ya mtu, kurasa hazivuki 200. Nakihitaji kuna dogo langu anaingia form one. Pre-form one...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Subira yavuta : kheri...japo maskini....wa ...kulala chini Hila Tajiri wa upendo, Najua Utaki hata kuniona Sura yangu imepoteza Nuru Kidonda umekitia Shubiri, Moyo umeutoboa kwa spoko navuja...
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…