Narudia tena. Hii salamu haifai kwanza inahusishwa na biashara ya utumwa kuendelea kutumiwa na mwafrika ni kumdhalilisha mwafrika.
Pili huwezi jua nani uumpe na nani usimpe maana huwez kuwa...
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa...
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.
Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu...
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo...
Hamjambo ndg zangu watanzania kwanza samahani kama nimeonesha ukabila katika kingereza kuna compound words mf. massmedia ambapo mass lina maana yake na media kivyake lakini yakiungana inaleta...
Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa
maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika...
Habari Wadau wa Lugha ya Kiswahili!
Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili.
Nimekuwa nikijaribu kukieneza Kiswahili hasa kwa njia ya mtandao, hivyo nimeona si vibaya nikibadilishana uzoefu na wadau...
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
Hujambo mshika dau muhimu Leo nimekuletea swali la mjadala , je unafikiri nikwanini viongozi wetu, wadau, na watumiaji Wa lugha ya kiswahili wanaogopa kukipitisha kiswahili kuwa lugha ya...
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata...
Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi!
Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno...
Haya majina yote hutumika kumaanisha Makatibu wa Wakuu japo kwa Kiingereza utakuta yanaandikwa kwa style tofauti ndani serikali hiyo hiyo.
Je kuna tofauti yoyote kisheria kwenye title hizo?