Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
SACCO ni moja. SACCOS ni mbili au zaidi. Au si hivyo?
0 Reactions
1 Replies
766 Views
NYOKO. 1.Ukweli napo usema,mwenzenu sina nyimivu Maneno napo yatema,vyema uwe msikivu Cheche zikianza hema,kuni huzaa majivu Nakiri Nyoko ni shibe,ni shibe ya kuonana. 2.Ukiona wapo pamwe,jua...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Shairi hili ni la kwa wa ubani aumwaye. Poa nipoe, kohoa nikohoe Harija zote nitoe, ni bwage moyo Kaole Zari na mgolole, wenye staha tuoe Poa nipoe, nisijepiga mayowe Maradhi faradhi, mimi yako...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais magufuli avalia shati la purple akishangilia ushindi wa stars. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Possessive apostrophe inakaaje kwenye singular nouns zinaishia na "s"? Kwa mfano. James Jesus Charles Moses???
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Wengine wanaziita acronyms. Ni muhimu kuzifahamu hizi:- ABS - Anti-lock Braking System ADD - Attention Deficit Disorder ADHD - Attention Deficit Hyperactivity Disorder AIDS - Acquired Immune...
7 Reactions
43 Replies
6K Views
Msaada tafadhali,ni kitendawili kipi ambacho jibu lake ni mwiko?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wakuu, m nmependa kuleta kwenu hili neno, hivi neno " MPUMBAVU' ni tusi au siyo tusi , kwa jins wewe unavyolichukulia, sabab hili neno limetumika mpka kwenye vitabu vya dini i.e.bibble
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za kazi na siku waungwana,nimekuwa nikisoma baadhi ya mada naona neno 'popoma' huwa kuna baadhi ya wanaJF hupenda sana kulitumia lakini katika hali ambayo huwa linaelewekan kwa badhi tu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
msinione mjinga, ioa najiuliza tu..... matusi ni nini? Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama'' mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Habarini za wakati huu wakuu..Hopefully mko salama..Nilikua naomba msaada wa kujua maana ya maneno yafuatayo kwa kiswahili. 1:Squeeze. 2:Squash. 3:Crumple. 4:Crush. 5:Shrink. 6:Press. 7:Wring...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
*KISWAHILI* *BAHARI* *YA MAWASILIANO* Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba kama unataka Kusema au Kumsifia Mtu au Mnyama fulani kuwa haogopi chochote kile au lolote lile hapa duniani basi kwa kile Kiswahili chenyewe na cha Kitaalam...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtu anae toa pesa baada ya ngono kujaamiiana hiyo fedha inaitwaje?
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Wadau salaam kwenu,naomba kujua Ni wapi nitapata darasa na mwalimu mzuri wa French na Spanish... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
3K Views
ASANTE KWA KUNILIZA. 1.Nilijua nimefika,nawe utanituliuza Wakufa na kunizika,leo tena waniliza Mdomo naufunika,wala sitokuuliza Asante kwa kuniliza,nakuombea baraka. 2.Japo chozi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kanzu inaitwaje kwa kiingereza?
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Issa Kitenge ni mmoja kati ya washairi wakubwa Tanzania lakini asiejulikana sana katika jamii ya washairi wengi. Alizaliwa kunako mwaka 1929 katika mji wa Kigoma na baba yake alikuwa akijulikana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…