Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
TWAKIMBIA TARAWEHE. 1)Ni Mara moja kwa mwaka,swala hii twaipata Ingawa tunairuka,bila nafsi kutusuta Nyumbani twa tawanyika,nini twaenda tafuta Twakimbia tarawehe,kama tumeona nyoka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Misamiati Mipya ya Kiswahili Vitate, Vitawe na Visawe 3 days ago ICU (intesive care unit) = SADARUKI. Serikali ya Mseto (coalition government) = SERIKALI MAHUTUTI.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CHIMBUKO LA VINA NA MIZANI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI KURUNZI YA USHAIRI Kabla ya kujikita katika vina na mizani si budi tukaangalia kwa muhtasari chimbuko la ushairi wa Kiswahili. Licha ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
RIWAYA YA KISWAHILI NA SIFA ZAKE RIWAYA YA KISWAHILI NUKUU ZA SOMO: MAANA YA RIWAYA NA AINA ZA RIWAYA: Riwaya imefasiliwa na wataalamu mbalimbali miongoni mwao nikama...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
MADA MPYA 3: KUHAKIKI KAZI YA FASIHI ANDISHI MADA NDOGO: MAENDELEO YA FASIHI ANDISHI. A.Mwelekeo wa kazi za fasihi andishi nchini Tanganyika na Zanzibar wakati wa ukoloni. KIMAUDHUI: Kazi...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Haloo Nai, Natumaini hujambo. Kule chitchat uliniomba nikufundishe Kichaga cha Mkuu Rombo. Bila shaka ulikuwa serious, ulikuwa hutanii. Nakuletea somo hilo kwenye hili jukwaa maalum kwa ajili...
4 Reactions
50 Replies
28K Views
Kwa heshima kubwa nakuomba Dr. Slaa ambaye najua umo humu jamvini unisaidie kunipa maana na tofauti ya maneno haya Waraka na Tamko. Nimekuja kwako Dr kwa kuwa najua wewe ni mbobezi katika mambo...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
BOOKS FESTIVAL NI NINI ? Ni Tamasha la namna ya pekee kutokea Tanzania mahali ambapo Waandishi wa vitabu, wasomaji na wabunifu wa kitanzania hukutana pamoja. Kupeana udhoefu ili kujenga nchi yao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Neno NDULI ,nimelisikia kwa mara ya kwanza ktk hotuba za mwl,Nyerere ,kwa kumtaja adui wa taifa kwa wakati ule. Nduli idi Amini wa uganda. hivi hili neno maana yake hasa ni nini?je ni neno la...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
NASHTAKI KWA IMAMU. 1)Kwa mnayonifanyia,roho yangu inauma Imamu nitamwambia,aje wakanya mapema Wapo nilowasikia,jinsi wanavyonisema Ramadhani Ramadhani,ndo mwezi wangu wa swala. 2)Imamu...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
1)Ndugu zangu nawaasa,haswa haswa wasanii Natumia hu wasa,kusema nanyi jamii Mfanyao mambo sasa,kutania kwa bidii Kutania Ramadhani,tabia yota mizizi. 2)Video mwazitengeza,mkivifanya vituko...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi ni mdau wa lugha ya Kiingereza. Paragraph hii ya chini nimeandika mwenyewe kwa misamiati ambayo sio ya kubuni, ipo kwenye Dictionary kabisa na wala sio misamiati ya kifamasia, ni...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
SHAIRI: SUMU YA UKALE VICHWANI MWETU MTUNZI: MULIKUZA PASCHAL Mkataa kwao kweli mtumwa, Na mcheza kwao daima hutunzwa, Daima tupende asili yetu kama paka na maziwa, Tukivikimbia vyetu mwishowe...
1 Reactions
1 Replies
687 Views
Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council. Wenye idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea. Kuandia kiingereza naweza kukuandikia kitabu kizima...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
R. I. P. Lugha ya Kiswahili. Reo Hasubui nirikuwa napitapita kwenye mitandao ya kijamihi nikahona mahajabu ya jinsi vijana wa siku izi wanavyo handika mitandaoni. Kiloho safi awana ata wasiwasi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakenya wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imebanduliwa mashindanoni " Watanzania wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imefungwa katika mashindano " Nani ameongea Kiswahili ' fasaha '...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saivi ukiwa mjini utasikia tu vijana na mabinti wanasema : " Mimi siyo wa nchi hii wewe...". " Hii siyo ya nchi hii …" Au " Yule si wa nchi hii". Ni tumsemo tunatokuja kwa kasi sana kama ule...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana JF, Wengi wamezaliwa mjini, anachojua tu ni kwamba yeye ni wa Kabila fulani, ila ukimuongelesha kwa Lugha hiyo ya kwao anakuwa hajui chochote zaidi ya basic terms na salamu tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam, Hamjambo maashiki wa lugha aali, tukufu, adhimu, na johari ya kiswahili. Ama baada ya salamu naomba mnisaidie kutongoa jambo lililonitatiza kama kichwa cha uzi kisemavyo. Unapomuuliza...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom