Hellow members I'm here to improve my english so I will going to reply all the contribution here through english language please dont stare or lough on me when I do the mistake in grammar or...
Habari zenu wajumbe?
Ndugu wajumbe,
Karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengine wakitegua kuanzisha na wengine kumalizia methali pamoja na kutoa...
Wakuu habari, natumai mu wazima usiku huu mkiwa mmejipumzisha baada ya pilika za mchana,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu naomba kwa wale walioishi South na wale...
Samahani nina swali kuhusu neno mjegeje. Nimesoma neno mjegeje lakini sijajua na sijaelewa maana yake. Nimegoogle na sijapata kamusi inaonyesha neno hii. Neno hii ni neno ya slang au kwa nini neno...
kwa sisi ambao lugha yetu mama si ile ya malkia,katika kusoma soma vijarida mbalimbali nikakutana na hiki naomba tu shee nadhani kitasaidia na wengine kama kilivyonisaidia mimi quoted;
Listening...
KARIBU TUFUTURU
1)Jamvi natandika nje,njoni tukusanyane
Njoni goti tukunje,kwenye kheri tukutane
Hata kama ni vipunje,hivyo hivyo tugawane
Karibuni tufuturu,mwisho na dua tuombe.
2)Japo...
MGENI WA MWAKA.
1)Tumesubiri kwa hamu,kukwona mgeni mwema
Nyingine hii yetu zamu,kufikwa tu wazima
Tulikuwa to fahamu,tungekwona ewe mwema
Mgeni mwema wa mwaka,karibu kwengu nyumbani.
2)Muda...
Sasa nimekuwa nasafiri uarabuni nikipata shida nyingi ya lugha. Najua kiswahili na kiarabu vinafanana kwa hivyo naomba watu nisaidie maneno yaliyo takriban yaleyale kwa hizi lugha mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.