Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,baba wa Taifa la Tanzania kama anavyojulikana kwa wengi.
Mbali na kuwa mwanasiasa,mwalimu na mpigania uhuru wa Tanzania na Afrika,pia alikuwa ni msanii,mtunzi...
Kwa mwenye kujua nini hasa maana ya neno "uchochezi"
Kwa upande wangu ni kufanya ktu kiwe katika hamasa ya juu kabisa " yaani mambo ni moto". Sidhani kama kila uchochezi huwa ni kosa kama...
Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juu....mtumie kiswahili tafadhali
Wataalam samahani naomba kujuzwa ikiwa kuna mtu anafahamu, kama kuna chuo Dsm kinafundisha watafsiri wa lugha ya kiingereza kwa kiswahili au kiswahili kwa kiingereza ( Interpreters)
Habari wanajamvi;
Salaam JF;
Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je...
Napenda sana hii Archimedes Principle] jinsi ilivyo kwa Kiswahili:
"When a body is partially or totally immersed in a fluid, it experiences an up thrust on it which is equal to the weight of...
THAMANI YA POPI.
1)Tumeirudi miaka,ile tisini na ine
Anathaminiwa paka,na wale watu wengine
Tumeiruka mipaka,tumenda pande nyingine
Ya binadamu thumuni,thamani ya popi kubwa
2)Utu wazidi...
Siku za karibuni kumekuwepo mlipuko (outbreak) ya matumizi mabaya ya maneno ya lugha ya Kiswahili katika majukwaa ya JF. Inaonekana ima watu wanaigana katika kuandika vibaya au hawajui wanaiga...
Rejea kichwa cha habari hapo juu simu yangu aikamati mnara ,nasijui kifaa gani kimeleta shida , samahani kama kuna yeyote anamfahamu fundi mzuri Wa kulekebisha mtandao ukamate mnara plz ni pm
So close..' out of reach
So physical' untouchable
So few, uncountable
So visual! yet to be seen
Black and void in the womb
In the primodial waters
Black, void the source
So hopeful for the...
Kichaga kama Kifaransa vile... Kwa uvivu wa kuita majina ya Watu hadi liishe huwa ni ngumu sana... huyo Clement huitwa Cle me..
Hii Bonsavoo inaendana na Bonjour..
ai see Clement Hebu...
Habari zenu wa Jf wote.
Mimi nipo naishi Arusha.
Nilikuwa nauliza wapi nitaweza kupata chuo cha kujifunza lugha ya kichina ?
Mwenye kufahamu awasiliane nami kwa email ya iddyallyninga@Gmail.com...
Habari ndugu, Excellent Training Center ni kituo cha kufundisha masomo ya QT na wanaorudia form IV, pia tunafundisha Elimu ya Watu Wazima wasio jua kusoma na kuandika. Kwa miaka yote tumekuwa...
Nini tofauti kati ya Makamu wa Rais, Naibu Rais na Kaimu Rais. Kwa uelewa kidogo nilionao naona kiutendaji Naibu Rais ana nguvu kuliko Makamu wa Rais.
Je, imekaaje vyote ni sawa au kunautofauti...
SHAIRI: KWANINI TWAKICHAFUA KIOO?
MTUNZI: MULIKUZA PASCHAL
Mara nyingi huwa hakidanganyi kile kionacho,
Huonyesha taswira iliyopo mbele yake bila mficho,
Haijalishi taswira ina muonekano gani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.