TWAKIMBIA TARAWEHE.
1)Ni Mara moja kwa mwaka,swala hii twaipata
Ingawa tunairuka,bila nafsi kutusuta
Nyumbani twa tawanyika,nini twaenda tafuta
Twakimbia tarawehe,kama tumeona nyoka...
Misamiati Mipya ya Kiswahili
Vitate, Vitawe na Visawe
3 days ago
ICU (intesive care unit) = SADARUKI.
Serikali ya Mseto (coalition government) = SERIKALI MAHUTUTI.
CHIMBUKO LA VINA NA MIZANI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI
KURUNZI YA USHAIRI
Kabla ya kujikita katika vina na mizani si budi tukaangalia kwa muhtasari chimbuko la ushairi wa Kiswahili. Licha ya...
RIWAYA YA KISWAHILI NA SIFA ZAKE
RIWAYA YA KISWAHILI
NUKUU ZA SOMO:
MAANA YA RIWAYA NA AINA ZA RIWAYA:
Riwaya imefasiliwa na wataalamu mbalimbali miongoni mwao nikama...
MADA MPYA 3: KUHAKIKI KAZI YA FASIHI ANDISHI
MADA NDOGO: MAENDELEO YA FASIHI ANDISHI.
A.Mwelekeo wa kazi za fasihi andishi nchini Tanganyika na Zanzibar wakati wa ukoloni.
KIMAUDHUI:
Kazi...
Haloo Nai, Natumaini hujambo. Kule chitchat uliniomba nikufundishe Kichaga cha Mkuu Rombo. Bila shaka ulikuwa serious, ulikuwa hutanii. Nakuletea somo hilo kwenye hili jukwaa maalum kwa ajili...
Kwa heshima kubwa nakuomba Dr. Slaa ambaye najua umo humu jamvini unisaidie kunipa maana na tofauti ya maneno haya Waraka na Tamko.
Nimekuja kwako Dr kwa kuwa najua wewe ni mbobezi katika mambo...
BOOKS FESTIVAL NI NINI ?
Ni Tamasha la namna ya pekee kutokea Tanzania mahali ambapo Waandishi wa vitabu, wasomaji na wabunifu wa kitanzania hukutana pamoja. Kupeana udhoefu ili kujenga nchi yao...
Neno NDULI ,nimelisikia kwa mara ya kwanza ktk hotuba za mwl,Nyerere ,kwa kumtaja adui wa taifa kwa wakati ule.
Nduli idi Amini wa uganda.
hivi hili neno maana yake hasa ni nini?je ni neno la...
Wakuu,
Mimi ni mdau wa lugha ya Kiingereza. Paragraph hii ya chini nimeandika mwenyewe kwa misamiati ambayo sio ya kubuni, ipo kwenye Dictionary kabisa na wala sio misamiati ya kifamasia, ni...
Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council.
Wenye idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea. Kuandia kiingereza naweza kukuandikia kitabu kizima...
R. I. P. Lugha ya Kiswahili.
Reo Hasubui nirikuwa napitapita kwenye mitandao ya kijamihi nikahona mahajabu ya jinsi vijana wa siku izi wanavyo handika mitandaoni.
Kiloho safi awana ata wasiwasi...
Wakenya wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imebanduliwa mashindanoni "
Watanzania wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imefungwa katika mashindano "
Nani ameongea Kiswahili ' fasaha '...
Saivi ukiwa mjini utasikia tu vijana na mabinti wanasema :
" Mimi siyo wa nchi hii wewe...". " Hii siyo ya nchi hii …" Au " Yule si wa nchi hii".
Ni tumsemo tunatokuja kwa kasi sana kama ule...
Habari wana JF,
Wengi wamezaliwa mjini, anachojua tu ni kwamba yeye ni wa Kabila fulani, ila ukimuongelesha kwa Lugha hiyo ya kwao anakuwa hajui chochote zaidi ya basic terms na salamu tu...
Salaam,
Hamjambo maashiki wa lugha aali, tukufu, adhimu, na johari ya kiswahili.
Ama baada ya salamu naomba mnisaidie kutongoa jambo lililonitatiza kama kichwa cha uzi kisemavyo.
Unapomuuliza...