KIZA, MUNGU, KIFO, VITA, NJAA NA MARADHI.
Mungu(light) na Kiza(Darkness) ni ndugu. Hakuna aliyeumba, wametokea tu, lakini wa kwanza kutokea KIZA kisha akafuatia NURU (Mungu).
Kiza ni...
Kumbe mkuu ni hodari kwa terminology nimemskia sana akitamka hili neno nisijue maana yake nikahisi limekosewa kumbe ni neno sahihi kabisa. Hongera mkulu.
MAMA WA THAMANI
1)Dua njema nakombea
Mama ngu ulonilea
Mpaka Leo nimekua
Japo kwako ni mtoto.
2)Mengi nimeyapitia
Kipindi kile nakua
Leo mama natambua
Jinsi ulivyonilea.
3)Hakika uliumia...
Hello guys?
I hope you are fine .
Here in this platform it intends to all learners of english language to boost our level of writting ,listening and speaking english language.
So you may share...
Hii clip nimeshindwa kuimalizia baada ya kuona hawa waandishi wanakosea kwa makusudi matumizi ya l na r.
Kuna mchungaji mmoja redioni niliacha kabisa kusikiliza mahubiri yake baada ya yeye...
1)Nayakumbuka majonzi,yalotokea Arusha
Wengi wao wanafunzi,kifo kilitukumbusha
Mwenyezi alomjenzi,ndie ataetufisha
Ulikuwa ni msiba,uloshitua taifa.
2)Watu waligaragara,machozi yakawatoka
Haikuwa...
Wakuu,
Natumai asubuhi ipo murua kwenu,
Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.
Yaani wanadhani hii nchi ina...
Imefika wakati basi Baraza la Kiswahili lihalalishe tutumie "R" panapokuwa "L" na vice versa...
Maana watu tunashindwa kabisa kutumia hizi Letters panapotakiwa, mfano..
Karo = Kalo
Kura = Kula...
*R.I.P[emoji779]*
*R.I.P[emoji779][emoji779]*
*R.I.P[emoji780][emoji780][emoji780]*
⚰⚰[emoji24]⚰⚰[emoji24]⚰⚰
*"PUMZIKA KWA AMANI" [emoji779]*
JE KUNA AMANI IPI KABURINI[emoji780][emoji15]...
Uamkapo asubuhi shikamooni wazazi,
Utakapo kwenye shughuli zako za kutafuta mkate unapofika nyumbani,je utatakiwa kuwaamkia tena shikamoo au kuna salamu nyingine?