Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Strange sounds about letter "O". Letter O has different sounds: 1.sound a as in gloves, money 2.sound e as in work 3.sound i as in women 4. Sound o as in orange 5. Sound u as in good, food, to...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Leo tusalimiane kilugha ukimpata wa kabila lako reply muanze kukumbuka nyumbani. Ngoja mm nianze, WAKASHINA !!?
1 Reactions
4 Replies
995 Views
Amani iwe juu yenu wadau wote na wapenzi wa blog hii mimi malenga. leo kwa mara ya kwanza kabisa katika kipengele hiki cha mdau wetu tumekutana na mkurugenzi mkuuw a taasisi ya sauti ya vijana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba huyu Iddi Ninga mshairi wa Jf anitafute kwa mawasiliano haya 0788685390. Nahitaji nizungumze naye kitaaluma zaidi ni mshairi mwenzangu na mwanalugha mwenzangu
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Tupeane tafsiri kidogo wa wataalamu wa lugha na sanaa, tukatazame kidogo baadhi ya vipande vya mashairi ya wimbo wa Bi. Kidude uitwao "Muhogo wa Jang'ombe" Nini maana ya muhogo wa Jang'ombe? Bi...
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Hii inawahusu wale tuliokuwa tunawaita wa kishua enzi zile Wale wa St Kayumba wenzangu tulieni kama tulivyokuwa tunatulia shule zisizo na walimu wakati wa debate Wale ambao wakati me nipo...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Wajuzi wa lugha naombeni mnipe tofauti kati ya haya maneno mawili , Kusikia na kusikiliza.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Hi guys, I humbly request for the recently marked form 6 Dar language 1&2 Mock exams Marking Scheme. Please help me urgently!
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habafi wana JF Hv mkemia Mkuu kwa kingereza anaitwaje By chemistry language
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tofauti kati ya kuona na kutazama ni nini?
0 Reactions
6 Replies
9K Views
nini maana ya mwenda tezi na omo,marejeo ngamani ? iweke pia sentensi hiyohiyo kwa kingereza,mwenda tezi na omo ni marejeo ngamani. tujipime sisi ni wazuri kwenye lugha gani,kati ya kingereza na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nikaona sio mbaya tupeneane elimu kuhusu mambo machache ya kielemu na kingereza....soma hapa acha uvivu kuna kitu utapata AUXILIARY VERBS...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Na ni jina la Kiafrika au Kizungu? Kwa maana nijuavyo mimi Majina yetu yote ya Kitanzania hayana herufi ,,Q na X” sasa ninyi hiyo ,,q” kwenye jina lake inatokea wapi kama ni Jina la Kiafrika? Au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni miaka kadhaa huwa naona hili neno linatumika lakini nashindwa kabisa kujua tafsiri halisi. Hivi majuzi nimegombana na kijana mmoja ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wangu baada ya mimi kutoka...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Tangu asubuhi napata notification kutoka forums mbalimbali kuhusu hiki kijarida uchwara cha watu wa magharibi kuwa kimemchafua RAIS WETU MPENDWA ila sijaelewa chochote maana maelezo mengi ya...
3 Reactions
86 Replies
8K Views
Wadau, huwa ninapata shida kwenye matamshi ya jina linaloandikwa Middle. Mwenye jina hulitamka "Middle" lakini linavyoandikwa, kwa uwepo wa d mbili, naona kama linakuwa so jina katika lugha ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wataalamu wa lugha husema kwamba lugha ni kitu hai; hukua na kufa. Lugha kadhaa hapa duniani zilikua kisha zikafa mazima, kama kilatini, sanskrit n.k. Sijui jinsi lugha zinavyokufa mazima ila...
16 Reactions
49 Replies
11K Views
Mara nyingi watu wanapost picha ikiwa na neno TBT, Na wengine wanaambizana eti ooh Mbona hujaniweka kwenye DP yako!! Tafadhali anayejua maana atupie coz Mimi siyaelewagi hayo maneno!!!
0 Reactions
21 Replies
44K Views
Unapokesea jambo.... Neno gani sahihi zaidi "Samahani" Au " Kumradhi " Mf. Samahani siku jua kama nili kosea. Kumradhi siku jua kama nili kosea. Ruksa kuni rekebisha.
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…