Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂
Turudi class
Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu...
Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!.
Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushuhuda wangu kuwa Mimi ni mlaji mzoefu wa mihogo ninapoamka asubuhi
Leo asubuhi nimekunywa kahawa ya maziwa, mkate uliopakwa pinatibata na bluu bendi, tumbo...
Wasalaam,
"I'm not saying I'm addicted to coffee, but I don't know what I'd do if I couldn't get my daily cup of caffeine"
I've been up since the crack of dawn, YES! I'm an early bird, not...
Hope mko poa
mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka
Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai...
Hope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika...
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa
Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha
Nikawa nawaza chakula jion...
Heshima zenu wote.
Niliwahi kusikia ya kwamba ndugu zangu Wakristo - Wasabato (samahani kwa kutaja dini, lakini kwa nia njema kabisa) huwa wanafundishwa mbinu za mapishi ikiwamo kuandaa vyakula...
Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme
Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM
Nilianza kuchemsha nyama...
Imeshawahi kukutokea umepata hamu ya kula chakula flani na huwezi kutulia mpaka ukipate? Imenitokea leo, usiku huu nimeanza kupika vitumbua vya nazi na iliki maana sijisikii kula kitu chochote...
Haya kama ulikuwa unataka kufahamu pishi fulani namna ya kuliandaa ili kulifanya futai na lisilo futari niulize ikiwa nalifahamu nitakujuza hapahapa namna lipikwavyo. Karibu.
unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji .wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa...
Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji
Wakati uho nilikuwa nimekata...
weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala
weekend hii niliamua kutengeneza kokoto...
Wakuu kwema?
Leo nataka nikufundishe kuiandaa sos ya nyama kwa kabla hujaichoma aidha mishkaki au aina yoyote ya kuchoma au kukaanga (fried). Code tunazotumia ni product maujanja ya ya kiczech...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.