Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
HAtua Kata cabbage kama inavyokwatwa vipande ndogondogo ya mboga changanya carrot na hoho na chunvi kidogo kisha pasua yai mbili koroga mchanvanyo huo na mayai Baada ya hapo weka mafuta kwa...
1 Reactions
9 Replies
601 Views
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha MAHITAJI NILIYOTUMIA Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui...
28 Reactions
85 Replies
3K Views
Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa. Unit 1 kwa...
61 Reactions
255 Replies
24K Views
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na...
7 Reactions
87 Replies
2K Views
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito...
15 Reactions
99 Replies
2K Views
Wapi dar es Salaam wanauza Korean kimchi nikale? 😄
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wana jukwa salaam kwenu. Imekuwa kawaida kwangu Mimi kula ugali na wali kama Chakula kikuu siku hadi siku. Sasa nimepata wazo la kuviweka kando kwa siku 14 bila kuvigusa Hivyo naomba mniambie...
3 Reactions
44 Replies
12K Views
Habari wakuu. Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri...
12 Reactions
141 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine) Spelt wheat/stone ground wheat...
0 Reactions
2 Replies
182 Views
JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi...
1 Reactions
8 Replies
857 Views
Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
2 Reactions
7 Replies
710 Views
Kwa mtu anaefaham kitimoto Safi mahali inapopatikana kigamboni Msaada iwe nzuri sio ya kupunja Location
13 Reactions
102 Replies
7K Views
Vitumbua ni aina nyingine ya Chakula kinachopendwa zaidi katika maeneo mbalimbali nchini. Vitumbua vina aina mbalimbali ya Mapishi, kuna Vitumbua vya Nazi, Mayai, Nyama na aina nyinginezo...
12 Reactions
64 Replies
3K Views
Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?
24 Reactions
138 Replies
3K Views
Wadau habari ya Jioni, kwani ugali una shida gani, mimi nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu. Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa...
15 Reactions
159 Replies
4K Views
Habari wakuu wa JF! Hapa ni Mchina Bakari, ni muda mrefu hatujaonana. Leo nitawafundisha namna ya kupika chakula kizuri cha Kichina, jina lake ni 番茄炒蛋, ambalo linamaanisha nyanya na mayai. Kabla...
2 Reactions
6 Replies
656 Views
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya Mahitaji Tikitimaji...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani MAHITAJI NILIYOTUMIA; Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom