Baada ya kukutana na vidamu kwenye kuku wa KFC na bado bei kubwa mno nikaona msela sishindwi kitu nikaingia jikoni matokea hayo hapo mzigo upo safi kabisa
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au...
Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni.
Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna.
Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili...
Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Kuna style ya ulaji wali kwangu ni mpya. Mdau anatengeneza Tonge la wali na kuchovya kwenye mchuzi kama ugali halafu linapelekwa mdomoni.
Ulaji huu unasambaa sana kanda ya ziwa. Kama hujazoea ni...
Ni majira ya saa tano Bibi Isabella Martinez miaka 60 anaingia jioni kuandaa chakula kwa ajili ya familia, pembeni anasaidiwa na Mjukuu wake wa kike wa miaka 20, Maria. Bibi Isabella Martinez...
Miaka ya 90 Kijijini Sengerema tulikuwa na kawaida ya kwenda kuwasalimia na kuwapa hai wazee, tukifunga shule basi kesho yake asubuhi ni safari kwenda kijijini kusalimia, na kuishi kidogo na Babu...
Samaki, dagaa na maharage vikiwekwa nazi huwa vyakula vizuri vinavyovyutia kula na ladha ya kueleweka. Nazi kwenye vyakula vingine vingi huwa naona overrated sana.
Sijui ni nini hasa huwa...
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ... dah... Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ...
I hope mko poa
Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa
Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀
Mahitaji
Samaki
Mchele
Unga wa pilau/pilau masala
Binzari...
Sijui kama mshaligundua hilo
siku hizi jirani akipika wali huwezi kujua, sio kama miaka ya 90 huko mtu akikorofisha madiko diko basi watoto hatulali..
Tukija kwenye Ngunga ishu ni ile ile...
Salam kwa jina la misosi,
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika...
Natumaini wazima.
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu.
Nazi, karoti...
Chakula ni kipengele muhimu cha maisha ya binadamu, ni bidhaa ambayo wakati mwingi huwa ni matokeo ya jitihada, riziki na starehe. Hata hivyo, linapokuja suala la uchaguzi wa mapishi, mapendekezo...
Kichwa cha habari hapo kimejitosheleza
Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au Pitahaya
Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
Wakuu vyakula vya Marekani sio vyepesi sana kujisosomola maana mimi nishazoea ugali mgumu sasa huku ni mwendo wa madude fulani ya ajabu ajabu.
Ila nikasikia wanasifia sana Taco nikaona ngoja nilo...
Mahitaji
Mayai 2
Unga wa ngano au Bread crumbs
Kijiko kimoja cha tangawizi
chumvi
Mixed spice au Viungo vya Pilau
oil
simba mbili au cubes
Maelezo
Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni...
Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu
Mahitaji
Ngano kilo moja
Sukari robo (utaigawa mara mbili)...
Wakati Shughuli nyingine za Kitaifa na Kimataifa zikiendelea tujitahidi kula vizuri ili tupate Nguvu zaidi ya kusikiliza na kutoa maoni katika baadhi ya mambo.
Lakini pia hata kama una madeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.