Safisha dagaa na uwaweke pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu vikianza kuwa vya brown tia dagaa wakaange kidogo kisha tia chumvi, pilipili, curry powder, turmeric, na nyanya chungu, koroga...
Mimi napenda sana kupika kwa njia mbalimbali,isipokuwa kuni na mkaa wa kawaida situmii kabisa,sasa natafuta mkaa mbadala ntaupata wapi.?Kama kuna mdau humu anajua ntaupata wapi na kwa bei gani...
Unakwenda hotelini unaagiza labda makange nyama unaambiwa eti 15000 wakati pale nyama labda nusu tu na makange yenyewe hakuna cha ziada zaidi tu yamekaangiwa karoti hoho nyanya yaani viungo...
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘
Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni.
Thank youuu😘
Habari wakuu,
Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
C2 INAWAHUSU
Vidokezo vya Nyumbani na Jikoni
👉Kuchoma pete ya kitunguu kutafukuza nzi jikoni
Kwa kitani cha kitanda na mito kunukia vizuri weka poda ya mtoto inasaidia.
👉Unapochuma mboga...
Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko
Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri
Mahitaji
Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata...
Vyakula visivyo vya wanga vinaweza kukupunguzia maisha kwa miaka minne
Maelezo ya picha,Vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga vina mafuta na protini nyingi
Lishe yenye kiwango kidogo cha wanga...
Pika kande lako liive vizuri ,nunua maarage mazuri (mapya) ambayo hayajakaa dukani sana ambayo ni ya zamani yana rangi ya kahawi hayatakupa matokeo mazuri
Ukishayapika yakiiva unga kawaida weka...
Karibuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.
Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali?
Sio kwa matumizi ya...
Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran
PAGE I
Chakula ukikizingatia unaweza kuenjoy sana maisha siyo kula kula tu. Ila jua nini wewe roho yako inapenda na unataka uleje na kipikweje.
Wapo watu wengi wana hela ila hawaenjoy kabisa...
WAkuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa...
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena.
Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya...
Habarii zenu,
Okay so leo naomba tushee vitu tunavyokula ule muda baada ya lunch na kabla ya chakula cha jioni...almaaruf evening tea/ snack
Huwa unatumia nini?
Kwa upande wangu leo ntatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.