Wakuu nataka kuanza kupika mwenyewe sasa nikiangalia sina kitu hata kimoja jikoni.
Nataka niwe na jiko la kawaida tu.
Naombeni wenye majiko mnipe essentials zote na gharama zake roughly..
Tunatarajia kufanya hitma.
Makadirio ni watu 200.
Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo
Pilau
Nyama
Ndizi
Salad
Tunda
Maji
Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
Wakuu,
Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula?
Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema
Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa.
Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo...
Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko?
Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa...
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie.
Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil...
Heshima kwenu brothers and sisters
Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni...
Nawasalim kwa jina la TZ.
Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo.
Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui...
Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi.
Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo...
Hi all
Naomba kufahamu namna ya kujua sufuria bora za non stick maan saiv kila kona non stick. Haya wataalamu na wazoefu wa vyombo hivi tiririkeni.
Natanguliza shukrani
CL
Nimeenda kwa rafiki yangu nikafungua friji lake nikajionea maajabu ya dunia. Mambo ya aibu kwa mtoto wa kike.
Hata friji la nyumbani kwa mama huwa nahangaika sana kupanga, kutoa vitu visivyo...
Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae...
Habari wanajamii
naitwa Samwel Mayala
ninatafuta kazi za upishi
ninauzoefu wa miaka 19 katika tansinia ya hotel
ninaishi Dar es salaam
NInapika chakula Cha aina mbali mbali kama vile chakula...
Wadau hamjamboni nyote
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli!
Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
Habari zenu wapenzi
Karibuni tena tujifunze jinsi ya kupika tambi za mayai.✍🏻
Ni rahisi sana wala hutumii muda mrefu, niiingi moja kwa moja kwenye mada
Owky.
Mahitaji.
Tambi
chumvi
maji...
Inakuwa na mchanganyiko wa
Soseji
Mayai mawili ya kukaanga
Uyoga
Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips
Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi
Maharage yasiyokaangwa
steak ndogo ya...
Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.