Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka...
Jamani kuna sehemu ukienda kula mpaka una enjyoy test ya chakula hususan nyama ukienda migahawa ya wazanzibar wanakuwa ni michuzi mitamu sana.
Hivi wanatumia viungo gani vinavyofanya test iwe...
Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi.
Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za...
Kama wewe ni mlevi wa pombe kali au mvivu wa kula pata supu ya mkia hasa shinani maana una nyama nyingi na tamu bei pia si mbaya
waweza kula kongolo au ulimi lakini havishibishi kama mkia...
Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa.
At...
Hivi sio vyakula bali ni vichocheo vya kula nyama zaidi.
KICHURI
Kichuri kinatengenezwa na kutokana chakula ambacho hakijameng'enywa ndani ya tumbo la mnyama kinachanganywa na ndimu au limao...
Habari wakuu.
Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.
Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa...
Matayatisho
Iliki ,tangawizi ya kusaga ,majani ya chai , maziwa na maji na sukati
Jinsi ya kuitengeneza
Ni rahisi sana ufundi ni kidogo
Chemsha maji yachemke kabisa kama robo lita hivi ongeza...
MABUNDA ni aina ya chakula cha asili cha Afrika ambacho ni rahisi kukiandaa. Pia kinajulikana kama MKATE WA NDIZI Kwa lugha nyingine.Ni chakula kilicho katika mfumo wa mkate ila hiki upikwa na...
Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya.
Tumeuanza mwaka na msosi gani leo?
Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
Wakuu...kwa sisi mabachela hapa tunapata pilau safi kabisa..nimekula kwa Mara ya kwanza nikaongeza sahani ya pili imebidi niifunge maana nilijiaona sijashiba kabisa..halafu so kula sahani mbili...
Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai...
Wazee wa madikodiko kwema?
Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani?
Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada...
Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila.
Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ...
Ndg zangu.
Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.
Sasa sijui wife anawaza nini ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.