Kuna hii mishikaki inauzwa Mida ya jioni 200 jamani ni mitamu sijui wanatiaga viungo gani nyie na ile pilipili yake 😋😌😂
Kuhusu suala la nyama me selewi ni nyama ya nini kuna watu wanasema ni ya...
Mambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini...
Wasalaam,
Mwenye ujuzi juu ya utengenezaji wa ubuyu wa vipande naomba dondoo, nimepitia Youtube kila nikijaribu holaa!!
Tutafute namna ya kuongeza kipato [emoji120]
GET A JOB SPELL
Are you one of those people that are struggling to take care of themselves and their families? Have you been looking for a job and you don’t find one? Are you thinking that you’re...
Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilitengeneza white sauce na leo napika bagia za dengu.
Ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza...
Mahitaji
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia
Matayarisho
Safisha maini weka...
Vipimo
Kuku - 3 Lb
Mayai - 6
Baking Powder - 1 kijiko cha chai
Pilipili boga - Robo kipande
Kitunguu maji - 1 kidogo
Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chai
Kitunguu saumu(thomu) na...
Mahitaji
Unga wa ngano kilo 1
Amira vijiko 2 vya chai
Sukari vikombe viwili vya kahawa
Vanila ya unga nusu kijiko cha chai
Chumvi nusu kijiko cha chai
Nazi 1 tui zito
Mafuta lita 2
Maelekezo...
Choroko ni moja kati ya nafaka zenye kiwango kikubwa cha protini, madini ya phosphorus na calcium. Ukiachilia mbali faida nyingine, virutubisho hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa afya ya ubongo...
Chefs,
Juzi kati hapa nilipigwa na Homa moja matata sana hadi kupelekea kulazwa Hospitali. Ashukuriwe Mwenyezi Mungu na Madaktari kwa sasa homa imeisha. Hii homa ilipelekea kupungua sana kwa...
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?
Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.
Nawasilisha.
Habari zenu wakuu, natumai mnaendelea vizuri. Jumamosi iliyopita niliwaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Wiki hii nitapika Biskuti za Tangawizi.
Biskuti hizi zinaweza kuliwa na...
Katika pita zangu humu duniani na kwenye mtandaoni nimejifunza mengi na kustaajabu mengi zaidi. Lile chakula unachokidharau au usiyo weza kuila kamwe, kwa mwingine kitoweo chake cha kila siku...
Jamii mapishi,
Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa.
Je, kuna...
Asili ya kinywaji hiki kilitengenezs mwa kwanza Manchester Uingereza miaka ya 1800+. Ni mchanganyiko wa berries na zabibu zilizosagwa pamoja na viasilia vingine.
Kinywaji hiki kilitumiwa sana na...
Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu.
Yaani kujua...
Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa.
Nimewahi kwenda kijiji fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.