Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza...
1 Reactions
0 Replies
845 Views
Wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kuandaa chapati za kusukuma, kuanzia kukanda unga kila kitu.
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile. Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu. Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu habari za siku ya leo. Mimi hupenda sana siku za sikukuu ama baadhi ya weekend mida ya jioni nikiwa peke yangu kupata chakula katika migahawa mizuri na bora. Sehemu ninazopendelea sana ni...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimeamua nimpike leo shemeji yenu leo ili ale ashibe ndipo nimwambie sasa kuhusu Pamela, achague mmoja mimi au Pamela! Nimemuwekea na ka mzizi kidogo!
14 Reactions
104 Replies
4K Views
Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4. Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri. Kaanga karanga...
4 Reactions
7 Replies
9K Views
Natamani kujua jinsi ya kuuandaa [emoji3064][emoji174]kuna mtu amewahi kujaribu ukatokea?
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Wana jamvi, Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar ule unao kuwa mlaini maana mimi nilijaribu lakini unatoka mgumu hauwi mlaini na wenye unga, nifanye nini?. =========...
1 Reactions
35 Replies
48K Views
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea bucha za kitimoto nikiwa na familia ndugu, jamaa na Marafiki hakika huwa tunafurahi na kucheka kwa pamoja tukiwa tunatumia hii chakula. Utamu wake ni kama asali...
3 Reactions
9 Replies
744 Views
Habarini!! Naomba namna ya kutengeneza sukari ya asili.Ukiondoa ya viwandani na asali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema...
1 Reactions
9 Replies
726 Views
Nawasalimu wote, Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana. Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka. Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali...
12 Reactions
174 Replies
15K Views
Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
UNAAMBIWA: Chips za viazi zilianza kutengenezwa rasmi Mwaka 1853 baada ya Mmarekani mweusi George Speck maarufu Crum (Mpishi) kupata hasira kisa Wateja wake kumlaumu kuwa anawawekea viazi vyenye...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa hili Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahitaji; Tui la nanzi (Tui zito na tui maji) tui maji ni mchujo wa pili wa nazi Nyanya 2 kitunguu mfuta ya kula kiasi Mihogo uliomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo Chumvi Weka mihogo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mambo ya kuthubutu haya sometimes noma sana!! Yaani nimejifunza humu humu JF jinsi ya kupika Chapati. Sasa leo si wageni wakawa wengi hapa home yaani wageni wa kike, nikaona hapa ndo pa kuchukua...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom