Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji Nyama kilo moja Tangawizi na thomu viwe vimesagwa kila kimoja ujazo wa nusu kijiko cha chai Kitunguu maji kimoja kikubwa kikatwe katwe Nyanya maji kubwa tano Limao kiasi Mchuzi mix...
7 Reactions
7 Replies
4K Views
1 Reactions
1 Replies
492 Views
Napenda kuwasalimu ndugu zangu wa JF. Nimekuwa nikipika maharage lakini nashindwa kuyafanya yawe matamu ila akipika mwingine naona ni matamu. Nashindwa pia kujua kubalance mchuzi ninapounga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja. Majina ya sehem na location itapendeza zaidi. -------- Pitia link hizi...
3 Reactions
106 Replies
19K Views
Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi? Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana. Sasa nimekutana na kitu kinaitwa Slow Cooker, je ndio hiyo hiyo...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali. Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau...
6 Reactions
41 Replies
17K Views
Kwema watu wa ulimwengu? Wapi nitapata buffee kwa Mwanza na Dar mahali ambako nitaenda kulipa pesa na kula ninavyotaka? Namaanisha nikishalipa naruhusiwa kula chochote isipokua kubeba tu. NB...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini!! Kama Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza maishani basi ni namna ya kupangilia mchanganyiko wa makundi mbali mbali ya vyakula ili kupata mlo kamili. Ombi langu kwa anayejua mlo kamili ni...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani. Mimi huwa naweka ngano, nachanganya ngano na maji nachovya samaki wabichi kisha nakaanga. Wanatoka vizuri sana na wanakuwa watamu mno...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Hello Wadau!! Kati ya BIRIANI na pilau wewe unapendelea zaidi chakula kipi Kati ya hivyo viwili? Binafsi napenda Pilau. Wewe je? 👆PILAU. 👆BIRIANI
4 Reactions
83 Replies
7K Views
Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya. Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Coconut jum drop... Mahitaji ~ 150g ~ 1/2 cup Icing sugar ~ Yai Moja ~ Vanilla / au ladha yeyote kijiko kimoja ~ 1 na 1/4 cup unga ( self rising flour) ~ raspberry jum ~ 1 cup Nazi kavu...
3 Reactions
3 Replies
833 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mahitaji Ufuta kg2 Sukari 1/2 Jinsi ya kutengeneza Chukua ufuta peta na toa takataka zote Kisha tia ndani ya sufuria weka maji osha na chekecha michanga kama unavyo chekecha mchele kutoa...
5 Reactions
3 Replies
6K Views
Ratiba ya Ramadhani, tushirikishane kwa pamoja, yangu imekaa hivyo, Day1: Tende Shurba Chapati Maharagwe ya nazi Samaki wa kukaangaa Day2: Kaimati viazi karai Chapati na Mbaazi Fruit...
6 Reactions
15 Replies
5K Views
Natafuta restaurant ya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu moja moja. Ahsanteni saaana.
5 Reactions
170 Replies
5K Views
Nimekula kuku wa KFC jana, kwakweli nilikuwa dissapointed mno, ile hype yote niliyokua naisikia haikuwa na ukweli upande wangu. Kuku hana ladha ni mafuta tu. Angalau chipsi zao ndo zina ladha. Au...
13 Reactions
59 Replies
7K Views
MAHITAJI 1. Mayai matatu makubwa 2. Maji ya uvuguvugu vijiko viwili vya chakula 3. Pilipili manga nyeupe ya unga kidogo 4. Chumvi kidogo 5. Siagi 6. Mafuta ya kupikia MAPISHI 1. Pasua mayai tia...
9 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom