Za afya, binafsi napendelea kunywa uji wa ulezi na viazi vitamu. Siku zingine nakula majani chuku chuku ya maboga, matunda kidogo au maharagwe chuku chuku!
Kwa leo nimekula majani chuku chuku ya...
Moja kwa moja kuokoa muda..
Mimi sio mpenzi wa kutumia majani ya chai ya dukani mara nyingi napenda kutumia chai ya mchaichai,baada ya kupitia nyuzi mbalimbali humu zinazohusu mti wa mlonge na...
Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya...
Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi?
Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu...
Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi...
Nishasema kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Nguruwe ni haramu[emoji1787]
Narudia nguruwe ni haramu[emoji1787]
Hiyo menyu ni balaa full majaribu[emoji23]
Nireteeni mbusi...
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikijiaminisha kuwa napenda sana machungwa. Nimekuwa nikiwaambia watu napenda sana machungwa. Msimu wa machungwa ukifika huwa ni kawaida kwangu kununua machunga...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake.
Mtu mwingine anatamani kula kitu...
Hellow swahibaz!
Mwenzenu nina tatizo la kukadiria chumvi na maji katika mapishi ya ubwabwa. Mi binafsi huwa sipendi chumvi nyingi, hali ambayo imefanya niwe mkini mno katika uwekaji kiasi ya...
Habarini
Leo nataka kupika ugali mlisema unatiwa blubend na Nini? Naomba mnikumbushe.
Nawasilisha.
=====
Picha ya ugali kutoka maktaba
Soma maoni zaidi kuhusu kupika ugali: Jinsi ya kupika...
Nahitaj kupika pilau nyama ya kuku ya kukaanga na mchuzi, njegere, viazi
Naweza changanya pilau njegere na kuku viazi kwa pamoja.
Na mahitaj yake ni yapi
Habari zenu.
Kuna siku nilienda sokoni kununua bidhaa fulani nikakutana na ndugu yangu anauza viungo vya chakula. Kwakuwa tayari nilikuwa nimemaliza mahitaji niliamua kununua tu chochote kwakwe...
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza.
Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia.
naombeni maelekezo tafadhali
Habari za muda huu!
Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika.
Maana...
Kwema Wakuu!
Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani.
Kama unaishi maisha ya...
Wakuu habari za mchana,
Nadhani tunajua watu wengi sikuhizi wamekuwa wakijali sana afya zao na wamekuwa wakitafuta namna ya kutengeneza au kula zaidi vyakula vya asili kuliko vya kwenye makopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.