Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu habarini za Mida, Nahitaji msaada kwa wale wataalamu wa kuchoma nyama ya mbuzi huwa inakua lain na yenye ladha. Naombeni tupeane maujuzi jinsi ya kuchoma na aina ya viungo vya kutumia...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mahitaji 1)nyama/kuku 2)mchele kg 1 3)vitunguu maji 3 vikubwa 4)vitunguu thomu 1 kidogo 5)pilipili manga kidogo 6)uzile 1(bizari ya pilau) tbsp 7)mdalasini kijiti 5 vikubwa au kama ni wa unga 1...
13 Reactions
60 Replies
40K Views
Habar zenu wapendwa...! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa namna ya kuandaa pamoja na kuchoma nyama ya ng'ombe, na wastan wa watu wanne. Asante
0 Reactions
32 Replies
73K Views
1.Kuoka ni sayansi hivyo ni muhimu Sana kuzingatia vipimo,hakikisha unapima kwa usahihi kila hitaji lako usiongeze wala kupunguza hitaji muhimu hasa unapojaribu kwa Mara ya kwanza. 2.Hakikisha...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Kuanza kula mlo kamili ni bora na ni kazi sana, wengi wetu tunashindwa kutokana na miundo ya Familia zetu tumezoa tukiamka asubuhi ni viporo, vitumbua nk, mchana ugali na usiku wali. Hii...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye vitabu au totorials za mapishi ya kienyejii ya kikabila makabila yote tz, anisaidie please.
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Matembele ni mboga maarufu sana, pia ni mboga yenye virutubisho sana, Lakini matembele yana faida nyingi katika miili yetu. FAIDA ZA MBOGA YA MATEMBELE KWA UFUPI 1: Matembele yana madini ya...
9 Reactions
36 Replies
11K Views
Salaam, Kiukweli tangu nianze kula ndizi zilizokaangwa sijawahi kuona ladha yake. Je, huenda ninapokula ndo hawajui kuandaa ndizi za kukaanga au mdomo wangu na ulimu ndo umegoma kuhisi ladha ya...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wataalamu, watumiaji na mafundi. Nahitaji kuelewa kati ya jiko (oven/cooker) la GESI au UMEME lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani? Mfano wa cooker/oven Liwe la gesi lote, yaani juu na ndani...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Kuna baadh ya watu hutumia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndizi yaani karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
2 Reactions
12 Replies
38K Views
Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
"Hata Nguruwe huwa ana swih mbele ya njaa ya kufa" Hii kauli niliwahi kumsikia Fid Q kwenye moja ya nyimbo zake, kitambo kidogo. Muda huo nakula ugali wa kengele, yani dereva wa sahani break...
16 Reactions
59 Replies
10K Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri mtaitikia wenyewe huko Kila mtu kuna baadhi ya vyakula hawezi kuvila kwa sababu kama za magonjwa au kutokuvipenda. Mimi binafsi siwezi kula vyakula vifuatavyo...
5 Reactions
142 Replies
9K Views
Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu...
1 Reactions
32 Replies
11K Views
Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa. Maandalizi ya mbute Mbute hutokana na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeonja pili za embe tofauti tofauti na zote ni tamu balaaaa na zote zina rangi ya ukijani kibichi hebu kama mtu ana fahamu Adondoshe recipes hapa!
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu? Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau habari zenu? Naomba kama kuna mtu anafahamu namna ya kutengeneza hizi mbegu mnazoziona katika picha anifundishe. Hapo kuna Mbegu za Maboga, Mbegu za Ngano isiyokobolewa, na Zabibu kavu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni chakula kizuri sana kutumia kama kifungua kinywa (breakfast) cha mtoto kwa sababu kina kiasi kikubwa sana cha virutubisho. Chakula hiki kitamfanya mtoto wako awe na siku nzuri yenye...
5 Reactions
9 Replies
6K Views
MAHITAJI ~ Maembe 3 mabichi ~ Nyanya 5 kubwa ~Tomato paste/ tomato ya mkebe kijiko 1&1/2 cha kula ~ Pilipili mbichi takriban 20 ~ Vitunguu maji 2 ~ Thomu konde 8 ~ chumvi kiasi ~ Mafuta ya uto/ ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom