Wakuu habari natumaini wazima
Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu.
1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje...
Kwa upande wangu,
Underrated
Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za...
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi...
Mi mambo mengine yananipita hivi hivi..hili pilau nimeliona mahali naomba mwenye msaada wakujua haya majani ni mbwe au ni bahati mbaya yamedondokeamo.
Kama siku hizi ukipika pilau ukimaliza...
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
Hivi kuna wakati unakua huna pesa au ndo umebakiwa na visent vidogo au huna hobby ya kula nyama sijui samaki wala huna hobby ya kugusa hata mboga za majani kbs
Simple mboga ni hii ya miguu ya...
Waungwana za jikoni?
Nina rai hapa kuwa tuweke kwa kiswahili na kingereza majina ya viungo vya chakula yaani spices pamoja na ingredients nyingine za kupikia na hata majina ya vyakula...
Wakuu napenda kupata hata ka ujuzi kwenye ukangaji wa vibanzi yaani chipsi.
Naomba kujua ya fuatayo:-
1. Kiloba cha ndoo 4 kinauwezo wa kutoa sahani ngapi za vibanzi(chipsi).
(Hata kama unajua...
Mahitaji:
1- Bamia kilo 1
2- Nyanya 2
3- Nsusa
4- Ntwili
5- Kitunguu 1
6- Magadi
Namna ya kupika katakata bamia nyanya na vitunguu vichemshe huku unachanganya na magadi baada ya hapo weka ntwili...
Wapishi wa humu nawasalimu.
Napenda sana kula boga, ila upishi wangu unanikatisha tamaa, nikinunua boga kwenye migahawa huwa nakula linakua zuri linakua na unga unga kama kiazi kitamu.
Ishu sasa...
Wakuu hivi yale mafridge ya mtumba tunayouziwa pale Magomeni traventina na yale ya dukani Kariakoo yapi bora hata umeme ukikatika na yapi yanadumu kwa uimara.
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa.
Na...
Habari marafiki zangu wapendwa?
Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini...
Nataka kuchoma nyama kwa ajili ya Familia lakin sijui pa kuanzia. Nadhan nikipata majibu ya maswali yangu ntajua cha kufanya.
A). Sehemu gani ya nyama ya ng'ombe ni tamu kwa kuichoma? Ili...
Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na...
Luwaki Coffee;
Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa.
Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa,
Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani...
MAMBO 10 YA KUZINGATIA KATIKA USAFI WA JIKO LAKO.
1. Hakikisha unasafisha jiko lako mara kwa mara kabla na kila baada ya kumaliza kupika. Usafi uwe wakina,futa sehemu zote kutoa vumbi na wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.