Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo...
Jinsi ya kupika supu ya ulimi wa ng'ombe/nyama ya ng'ombe/mkia wa ng'ombe/makongoro/nyama ya mbuzi/samaki/kuku/utumbo
Mahitaji
Ulimi wa ng'ombe/nyama ya ng'ombe/mkia wa...
Wakuu Jana nimejichanganya sehemu moja Mwanza nikaambiwa wanapika birian zuri sana nilichokutana nacho Mungu anajua.
Asanteni sana Mwanza [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Hello wapishi.
Leo ni siku ya sikukuu wa wenye imani ya dini ya Kiislamu, ila kwa kiwa sisi ni wamoja huwa tunasherehekea pamoja.
Sasa leo unapika nini siku hii? Tushirikishe kisha tupia picha...
Wapendwa naomba kufahamu unga wa dengu hutumiwa kupikia nini?
========
Wadau washauri jinsi ya kutumia
Bagia,
Kachori kwa hapa unatumia viazi unavichemsha vikiiva unavipondaponda kisha...
Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu...
Mara ya kwanza naonja Kimchi ilikuwa kwenye hafla fulani huko Jijini Dar es Salaam. Nillikuwa na shauku sana kuonja menu ambayo naiona tu kwenye series.
Of course nilijua kitakuwa ni chakula...
Mahitaji
-Kuku 1
-Karoti 3
-Vitunguu 2
-Vinega
-Pilipili kiasi
-Mafuta ya kukaanga
Jinsi ya Kuandaa
-Kata kata kuku
-Kaanga kuku
-Weka vinega kwenye bakuli katia humo na pili pili...
Wadau wa JF
Nimeingia Iringa muda huu kikazi
Nimeagiza supu nzuri, tamu, ya kutosha na tena yenye ladha ya kipekee kabisa
Furaha yangu ilizidi zaidi nilipoambiwa na mhudumu kuwa bei yake
shs...
Habari zenu wanajiko.
Leo ningependa tushee mambo yanayotutokea jikoni, yale ya vituko vituko.
Mie mengi yamewahi kunikuta lkn ntaweka machache tu.
Kuna siku mama yangu aliniwachia niangalie...
Habari wakuu.
Naomba kufahamu zaidi juu ya hili jiko la kupikia. Nipo Mwanza naweza kulipata wapi? Kampuni gani nzuri? Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri? Nini hasara zake? Bei yake ipoje...
SHURBA
Mahitaji
Ngano nzima nusu
Nyama kg1
Tungule 1kubwa
Kitunguu maji 1
Somu na tanga wizi kijiko 1cha mezani.
Pili pili boga1
Pilipili manga kijiko kidogo
Uzile au bizari nyembamba kijiko...
Wadau za leo?
Bila shaka wote tunafahamu hii bidhaa ya Microwave/Microwave Oven/Microwave Oven and Grill.
Wengi tumeizoea kuitumia kwa kupasha japo ina matumizi zaidi ya hayo..kupasha mara...
Binafsi napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagiza kichwa maana bila ya kula jicho sijajickia kama nimekula.
Lakini pia kama hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama...
Habari wana jukwaa,
Kama mada inavyojieleza. Ni ipi ladha ya juisi huwezi kuichoka hata unywe mara nyingi.
Kwa upande wangu mchanganyiko wa nanasi, parachichi na pasheni. Kwa kweli napenda sana...
Njia hizi zitakurahisishia usafi jikoni na kuweka jiko lako safi bila bacteria
1. Tumia chumvi na ndim kusafisha ubao wa mbao wa kukatia vitu jikoni. Mwagia chumvi kwenye ubao halafu sugua na...
JF,
Nafikiri na nyie mtakuwa mmegundua hili.
Wapishi katika mahoteli makubwa wengi ni wanaume.
Hasa hasa hoteli zenye hadhi ya nyota tano lakini hata zile za hadhi ndogo.
Sijajua sababu au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.