Ebana huu ni uzi kwa wale ambao appetite zetu zipo juu muda wote yani tumbo likiona karanga linaweka, likikaa kidogo chips mayai, baada ya muda kidogo tunatupia utumbo yani ali mradi tumbo lipo...
Kutokana na kuwa na utumbo mdogo, watoto hawali sana.Ndio maana ni muhimu kuwa na uhakika wa chakula wanachokula kina lishe nyingi za kutosha na zote.Jifunze au jua jinsi ya kuweka muda wa kula...
Hayo ni maoni yangu binafsi wadau kulingana na uzoefu wangu
Ukitaka akili iburudike basi
pata mchemsho wa kahawa ya kienyeji na maziwa fresh
Ni kinywaji kitamu hata harufu yake wakati...
Kama Mimi kuna jamaa zangu mmoja hawezi kula ndizi mbivu anahisi atatapika, mwingine huyo anasema akila wali na soda basi lazima arudishe basi fuluuu raha unakuta mimi nafurahi kweli nasombelea...
National Occupational Safety and Health Certificate (NOSHC) Module 1 and 2 ni kozi za muda mfupi zinatolewa na OSHA kwa muda wa wiki 2 ada yake ni tsh 700,000/=. naomba ushauri naweza kupata wap...
Heshima kwenu wakuu,
Mimi huwa napenda sana mayai ya kuchemsha, ila sijajua wakati wa kuchemsha unachanganya viungo gani.
Nategemea kupata mgeni, mgeni wangu anapenda mayai ya kuchemsha na...
Tunapozungumzia kula kuku kwa ajili ya Afya zetu tunazungumzia kuku wetu wa kiasili au tunapozungumzia umuhimu wa kula mayai zaidi tunakusudia mayai bora ya kuku wetu wa Asili na mapishi yenye...
Virutubisho Ina umuhimu nyingi Sana katika mwili ya mwanadamu
Vifuatazo Ni muhimu ya virutubisho katika mwili.
1: kwa mtoto humuongezea hamu ya kula
2: husaidia kuzuia upungufu wa damu mwilini...
Nimeagiza asali jion nikamwambia mamy ikifika aipokee... Muda si mrefu nimeionja nimekuta ina radha chungu, af nyeusiiii.... Asee huu ni uchakachwaji na si uchakachuaji huu, lohh!!!
Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyama😂😂😂😂.
Je,unaweza kumaliza pesa hiyo kwa kuagiza...
JINSI YA KUTENGENEZA MAZIWA YA MTINDI/ MAZIWA YA MGANDO (YOUGHURT)
Vipimo:
Maziwa fresh/maziwa ya maji lita 1
Maziwa mtindi vijiko 6
Maelekezo:
Pasha moto maziwa katika sufuria hadi yawe na...
Mara nyingi, nimekuwa nikitia limao katika maziwa ili kuyafanya yagande papo kwa papo.
Je, hii haina athari ki afya, au kupunguza virutubisho pengine ndani ya maziwa?
Karibu sana kwa mchango na...
Nimekuwa na katabia nikinunua mtindi huwa naweka na sukari ili kupunguza uchachu, je hii ni sahihi au inaweza kusababisha kupoteza virutubisho vya mtindi?
Why mahindi ya kuchemsha ya mikoani au vijijini au pembezoni mwa jiji Yana ladha tamu kuliko haya ya mjini?
Shida iko wapi?
Wa mjini wanakosea wapi?
Kutumia gesi? Umeme? Au aina Tu za mahindi?
Nimekata hizi ndizi kubwa kubwa Sana, hapa kwetu zinaitwa mkono wa tembo, sijawahi kuzila hata siku moja.
Naomba wataalamu wabobezi wa Aina mbalimbali ya kuziandaa ndizi hizi kwa ajili ya kula...
Mahitaji
Nyama ya Kuku
Viazi/mbatata - 3
Kitunguu maji - 1
Kitunguu saumu(thomu/galic) - 5 chembe
Pilipili mbichi - 2
Nyanya ya kusaga - 1 kijiko cha chai
Pilipili manga ya unga - ½ kijiko cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.