Wakuu habari za weekend,
Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si...
Ukiachana na ile chopping board iliyopata mrejesho hasi.
Pia Kuna kifaa hua natumia Sana..kwa jiko langu...nacho Ni MBUZI..
sijui mbuzi kwa English inaitwaje.
Je, Wewe kitaa gani unatumia zaidi...
Bia ni kifungua kinywa bora, siri moja ya kifungua kinywa hiki ni kunywa beer moja tu. Wengi wanaharibu hapa kutaka ya pili na ya tatu. Ukishaongeza ya pili umevunja mwiko.
Unaweza kushushia na...
Habari wapendwa wa JamiiForums.
Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com...
Habarini za saa hizi wandugu?
Leo nilienda kununua nyama ya ng'ombe buchani yapata robo kilo kutokana na mlaji niko peke yangu getto. Maajabu ni kuwa nilianza kuchemsha kwa jiko la gas mida ya...
MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO
1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi...
Nimechoka kula wali ugali ndizi tambi nk nimeamua kujaribu vyakula vipya kabisa vitakavyonipa ladha mpya. Nimeanza na majongoo Yale makubwa meusi. Nitayala kwa mfumo wa kuyakaanga kwenye mafuta...
Kwa wale wenzangu na mimi tuliowahi kunywa chai ya kuunguza sukari kama majani ya chai tukutane hapa.
Chai ile ilikuwa inatengenezwa kwa kuchukua Sukari unaiweka kwenye sufuria iliyopo motoni...
Habari!
Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!
Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.
Tafadhali naomba...
The saying must be true: “The Chinese eat everything that has four legs, except tables and chairs, and everything that flies except planes.” However, the State and federal health officials have...
Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na...
Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani?
Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
Habari za asubuhi wana Jf,natumai mmeamka salama na mkiwa mnajiandaa kuingia kwenye harakati za utaftaji kwa lengo la kupata chochote kitu,Na Mungu akawafungulie milango ya baraka.Bila kusahau uzi...
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?
Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.
Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.
Mwingine Nani ale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.