Nimekaa na kujiuliza kwa nini huyu mnyama pendwa Nguruwe a.k.a mbuzi katoliki a.k.a kitimoto hapikwi supu mtaani kama ilivyo kwa ng'ombe ,mbuzi na wanyama wengine?
KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali fulani unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sana, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata...
Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
Yaani nimeona niulize...
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula...
Ndugu zangu wenyeji wa Dar, ivh ni sehemu gani nzuri ambayo wanauza vyakula vitamu vitam kipenzi cha wengi. Sometimes mm naona ni vzur kubadili mazingira. Bei haijalishi
Habari zenu?
Muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. Mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde...
hii ni mojawapo ya sectors za malavi davi inakyokuwa overlooked ila aparently inasababisha matatizo... sasa wenye uzoefu tupeane maujuzi humu,tusije tukaachika bure lol... tufundishane namna...
1. Mapishi Kababu za nyama (Meat Ball)
Leo tuangalie mapishi ya meat ball (kababu) za nyama ya ng'ombe. Ni kitafunwa kizuri sana kwa asubuhi au hata jioni.
Mahitaji
· Nyama ya kusaga 1/2kg
· Yai...
Habari menu,
Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.
Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu...
MAHITAJI
[*=left]1 kilo unga wa ngano
[*=left]240 ml maji ya vugu vugu
[*=left]2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula
[*=left]2 asali kijiko kidogo cha chai
[*=left]1 chumvi kijiko...
Ukweli kiti moto kina shombokali na ukikosea kuipika itakushinda kula hasa roast. Giligiliani majani haya hukatashombo yote.
Kata giligilani uchemshe pamoja na limao au ndimu. Maji haya...
Salaam wana Jf.
Bila kupoteza wakati naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja. Kuna mahali nimepata wazo la kufungua biashara ya kuchoma ndizi na mishkaki, lengo langu ni kutengeneza bidhaa zenye...
Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga?
Msaada tafadhali
Huu ni ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja, Ugali huu unaitwa Rowe hapa kwetu Kigoma.
Unatengenezwa kutokana na muhogo, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unaandaliwa...
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.
Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu...
Salaam JF,
Leo napenda kushea nanyie jikoni kwangu,jinsi ya kupka majani ya maboga yakawa matam bila kutumia gharama kubwa.
@Mahitaji
majani ya maboga fungu1(kulingana na mahitaji ya familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.