Karibuni I'm enjoying a soup na nimependa share nanyi recipe.Tamu sana.
MAHITAJI (kwa mtu mmoja waweza ongeza ku fit idadi ya walaji)
Ndizi ama viazi 2,kuku wa kienyeji(nusu),vitunguu maji vitano...
Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu).
Jinsi ya kupika.
Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama...
Rejea mada tajwa hapo juu,
Naomba kujuzwa namna ya kupika kande mahindi mabichi kwa maharage makavu na kama kuna viungo na vikorombwezo vya kuweka ili yawe na ladha murua.
Asanteni
Sent using...
Huwa nina shida ya kukinai chakula,so nataka tushee recipes tofauti za mchele!
=======
SWEET CHOC RICE
Mahitaji:
-Mchele kg1
-Karoti tatu
-Asali vijiko vitatu
-Vanilla ya maji(kijiko kidogo)...
Kua kwenye diet kunafanya nitafute namna mbalimbali ya kula na kuenjoy vyakula ninavyovipenda.Bila kuharibu juhudi zangu za kupunguza uzito.
katika glasi ni mchanganyiko wa Maziwa mgando,tikiti...
Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza.
Andaa samaki kidogo kwa wasio kula...
Nauliza kile chenye nguvu, kuhusu matunda n.k inaruhusiwa kukamilisha mlo kamili.
Ila ni kipi waweza kula mwaka mzima.
Mimi wali na maharage asubuhi mpaka jioni, kiporo n.k mwaka mzima na sasa...
Napenda kupika sana nikishindaga home lazima nipike vitamu mahanjumati na nipo vizuri, mwanamke atakaeolewa na mim kama hajui mapishi atapata tabu sana.
Chemsha mchele, weka maji zaidi ya yale unayopikia wali, acha uchemke taratibu kwa jiko la imeme unaweza kuweka moto number nne. Baada ya dakika 20 zima jiko.
Chukua bakuli la kuchanganyia, toa...
Sio kila siku uji wa ulezi tu jamani tuwe tunabadilisha ili kutowachosha walaji
Mahitaji:
Kiazi kitamu 1
(pia unaweza kuongeza vipimo kulingana na ukubwa wa familia yako)
Maziwa fresh kikombe 1...
Habari zenu wadau ni masiku mengi sijatia mguu ndani hapa ila leo naomba msaada.
Ni mchanganyiko upi wa vyakula unaomfaa mtoto wa kuanzia miezi mitano...
Maana wengine wanasema Dagaa...
Mahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho
Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe...
Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr
Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani...
kuna dogo hapa nataka awe vegetarian/vegan...
angalau afikie hatua awe anatafuna tangawizi kama karanga huku akitabasamu bila kukunja sura.
kwa jiji la dsm, napata wapi haya mavitu...
Wadau wanao hitaji kujua jinsi ya kupika maharage
Wadau samahani, Yani kila siku napojaribu kupika maharage ile natoka na kurudi ndani nakuta nyumba imejaa moshi vitu vimeungua sana. Yani hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.