Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu nipo maskani Leo mda huu ndo nimemaliza kufua.. Ndani Nina Mayai Viazi mviringo. Unga wa mahindi Mchele Samaki... chuzi/sotojo lililobaki Jana.. Naombeni msaada nipike Nini cha fasta Nile...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika au mapishi kwa ujumla wake. Wanawake wengi wa siku hizi wanaamini viungo vingi kwenye mboga ndio mapishi mazuri. Mbona inawekewa...
17 Reactions
75 Replies
10K Views
Habari wanaJF. Naomba mwenye utaalam wa kuandaa makange anijuze tafadhali.Nimetokea kufurahia huu msosi sema sina utaalam wa kuuandaa.Jioni njema
0 Reactions
17 Replies
28K Views
Siujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Inafaa kwa mabachela kama mimi nimejipikia haraka sana bila kuchelewa nikala nikashiba mchana ukapita. Mahitaji. Chumvi Mafuta Kitunguu kimoja Samaki wa kukaanga. Nyanya (idadi uipendayo) Jinsi...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanabodi, poleni na majukumu ya maisha! Wewe unapenda nyama ipi kati ya kuku, ng'ombe, mbuzi na kitimoto ipi ni nyama pendwa sana kwako na huko duniani ulikopita pita?
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Hello guys, Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta...
20 Reactions
105 Replies
14K Views
Umechoka kunywa chai na vitafunwa vya aina moja kila siku leo pika vitumbua venye radha tofauti ufaidi chai yako ya asubuhi: Mda dakika 50 Vipimo Unga - 2 gilasi(wa mchele) Mayai - 4 Hamira -...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Mahitaji: Mayai, wali, sukari. Jinsi ya kuandaa: Chemsha wali wako kama kawaida au hata kama unakiporo kitafaa, Tia wali wako kwenye bakuli kubwa ambalo utachanganyia, Kisha piga mayai wa 2_3 au...
16 Reactions
21 Replies
7K Views
Mahitaji Kwa ajili ya supu Viazi 4 vikubwa katakata round Nyanya 2 kubwa katakata Kitunguu maji 1 kikubwa Kitunguu saumu 1 tablespoon... Tangawizi 1 tablespoon.. Bizar ya pilau 1/2 teaspoo...
18 Reactions
74 Replies
67K Views
Jamani mwenzenu nina jiko nimenunua la kuchomea nyama, lakini kila nikichoma mishkaki haina ladha na ni migumu,wenye utaalam juu ya hili nisaidieni please.
0 Reactions
31 Replies
42K Views
Hello jf!! Naomba msaada wenu... Je ni wapi nitapata brown rice kwa bei nzuri? Namaanisha usiyokuwa ghali saana.. Natanguliza shukran...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habarini... naomba kufahamu jinsi ya kutengeza yorghut kwa yeyote mwenye uzoefu nayo....asante. ------ Wengine kiingereza hatujui mkuu. Yoghurt ndio mtindi? Kama ndio basi fanya hivi... Andaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mahitaji (Kutumiwa na watu wa 4) ・Mapaja 2 ya kuku (gramu 500) ・1/2 kijiko kidogo cha chumvi (gramu 2.5) ・Pilipili manga kwa ajili ya kutia ladha ・Vijiko vikubwa 2 vya sosi ya soya (mililita 30)...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
Mahitaji: Vitunguu swaumu kadri uwezavyo Tangawizi kadri uwezavyo Asali mbichi kwa ajili ya ladha. Andaa viungo vyako (vitunguu na tangawizi), weka kwenye blender na maji ya kutosha. Saga hadi...
9 Reactions
68 Replies
17K Views
Mwili wa binadamu huzalisha sumu kulingana vyakula tunavyokula hii ni njia moja wapo kuondosha sumu kwa haraka sana. MAHITAJI Majani ya Kale (kale leaves) - 3 Brokoli pamoja na miche yake - ½...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Tanzania ! Sasa ile vita ya mfugaji na mkulima mwisho kabisa. Sitegemei kuona tena vita hii hapa Tanzania. Mahitaji a) Karanga mbichi kikombe 1 na 1/2. b) Sufuria na chujio kubwa c) Jiko...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana JF, Hapa nilipo kuna kibaridiii... Nimejipongeza kwa kunywa chai ya maziwa ya viungo. Nimeona sio mbaya nikishare hii ladha ambayo naona ni nzuri sana hasa pale ukiipatia. Kuna...
15 Reactions
33 Replies
34K Views
Vipimo Mchele (Basmati) - 3 vikombe Mbogamboga za barafu (karot, njegere, spring beans na mahindi) - 1 kikombe Kuku Kidari - 1 LB (ratili) Mayai - 2 mayai Vitunguu (vikubwa) - 2 au 3 vidogo...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wapendwa,ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema.Leo nataka niwaelekeze kupika mboga ya majani ya maboga kiurahisi na matamu sana,japo najua kila MTU ana style yake ya kuyapika...
2 Reactions
15 Replies
16K Views
Back
Top Bottom