Habarini wana JamiiForums,
Natumaini mu wazima rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa chuo ninaejihusisha na biashara ndogondogo kama kuuza karanga nyekundu ,visheti, kashata na...
MAHITAJI
Unga wa ngano 1kg
Maziwa ya nido vijiko viwili vya chakula
Blue band vijiko viwili vya chakula
Mafuta ya kupikia nusu lita
Nazi moja pia unaweza tumia nazi ya pkt
Chumvi kijiko kimoja...
Mimi msela bachela niko ndani njaa inaniuma na hakuna sehemu nzuri ya kula karibu na home.Ni nani anatoa huduma ya delivery ya chakula kizuri cha asili kama ugali, wali, ndizi, nyama ya ngombe...
Habari, leo tupike kidogo kababu za nyama ya mbuzi
MAHITAJI
• Nyama ya mbuzi nusu kilo
• Dania 1iliokatwakatwa
• Kitunguu saumu pamoja na tangawizi vijiko 2 vya chai
• Garam masala(dawa ya...
Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi.
Wakati...
Msaada wajameni kama zile zinakuwaga ndani ya kopo (zinauzwa supermarket) na mafuta kidogo na pilipli kwa mbali hivi!
Mahitaji
-5 maembe mabichi yalimenywa na kukatwa kwa...
Tropical smooth juice
Mahitaji
Nanasi 1
Ndizi mbivu 3
Machungwa 3
Jinsi ya kutengeneza
Hatua 1
Menya nanasi lako baadae kata vipande vipande na weka kwenye chombo chako.
Hatua 2
Kata ndizi yako...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie.
Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa...
Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu,
Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa,
1:
Maandalizi...
Jamani kuna siku nililalamika keki zangu zilipasuka ovyo ovyo nilivyozitia kwenye mafut! Nikapata ushaur nipunguze sukari na baking powder leo nimepika hizi maoni yenu tafadhali nirekebishe nini
Hello JF
Leo nimeona ni busara tukapeana mawazo kwenye eneo la vyakula sababu ni msingi wa maisha na nina imani kwa wale ambao hawakwenda shule au walienda lakini hawakubahatika kusoma sayansi...
Nimeona siku hizi hii kitu ikitrend, wauzaji wa vyakula hapa mjini wanauza chakula aina ya Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu.
Je, ni nani alianzisha huu utaratibu? Kwanini Biriani haliuzwi...
Nimepiga plan ya kusimplify mambo hapa mjini nikaamua kwamba! kila weekend especially Jumapili ni mwendo wa kande tu..kwanza na minimize cost.
Nitanunua..Maharage nusu
Njugu Nusu...
Kuna baadhi ya sufuria za kupikia hutoa kemikali wakati wa kupika chakula nakuchanganyika hivyo kupelekea madhara kama kansa kwa mlaji, wajuzi tuwekeni sawa kwenye hili.
LAMBA LAMBA ZA PARACHICHI NA MAZIWA :
Mahitaji:
Parachichi 1 kubwa kiasi 1/2
kikombe cha sukari Kopo 1 kubwa
maziwa mepesi ya ( LUNA EVAPORATED MILK ) 1/2 kikombe maji
Maelezo: Katika bakuli...
ORODHA YA JUICE MBALIMBALI (Kwa hisani ya mtandao).
1. Juice ya ukwaju mix na unga wa custard
2. Juice ya carrot na ndimu hii taste inakua kama fanta orange
3. Juice ukwaju tango na zile pipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.