Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku?
Yaani eti anakula matunda tu analala!
Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu.
Saa 2 nikala...
Habari Zenu natumai mko poa,
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kua natafuta hotel yoyote iliyopo Arusha inayotoa mafunzo ya kupika Kwa ada nafuu sitaki chuo Kwa kua hawafundishi practically...
Hellow wapendwa poleni na majukumu ya siku nzima ya leo,,,
Nitashare nanyi baadhi ya aina ya vyakula/ tiba lishe ambavyo(yo) mimi huvitumia ,/nisivyovitumia;
1.sili ugali /wali/(vyakula vya wanga...
Sikujua kama ukipika mseto wa dagaa na mboga za majani hususan tembele na uweke na karoti ni tamu balaa.
Au nyama na mnafu na karoti utaipenda.
Woiii nyanya nishaanza kusahau kabisa.
Sent using...
Nikiwa Tanga mwaka jana nilisikia kuhusu kinywaji kiitwacho Al-Kasusu. Nilinunua na kunywa kinywaji hicho na kukuta ni kweli kinachangamsha. Nilijaribu kuulizia kinavyotengezwa nikaambiwa na wale...
Mahitaji
Ukwaju 2 paketi
Chumvi kiasi
Tende 1/4 kikombe
Pilipili mbichi 1
Namna ya kutayarisha
Toa kokwa ukwaju kisha roweka na maji moto.
Chambua tende utoe kokwa weka kando.
Tia vitu vyote...
Kinywaji cha viungo:
Hiki ni kinywaji chochote ambacho kimetengenezwa kwa kuwekwa viungo. Kinywaji hiki kinaweza kuwa cha moto au cha baridi. Kinywaji cha baridi kinapotengenezwa, yatumike maji...
Habarini Wakuu. Leo nataka tupeane mawili matatu ya namna ya kupika kwa kutumia nazi hapa haijalishi nazi iwe ni ile ya kukuna mwenyewe au zile zinazouzwa madukani.
- Je unaandaa tui lako katika...
Habarini Wakuu.
Ni muda kidogo kuna nyumba moja niliwahi kufika, hiyo nyumba si nyumba kubwa sana ila sebule ni kubwa hivyo mwenye nyumba akaamua kutenga sehemu ambacho ameweka meza ya kulia...
NAMNA YA KUPIKA DAGAA+NYANYA CHUNGU+NAZI: RURAL OR URBAN STYLE
Hawa ni wale dagaa wa kigoma lakini wadogo wadogo sana, wachambue vizuri kwa kiasi utakacho kupika, halafu uwaoshe vizurii wasiwe na...
Mahitaji
Nyama ya ng’ombe 1/2 kilo
Maini 1/2 kilo
Figo 1/2 kilo
Vitunguu viwili vikubwa
Pilipili hoho tatu
Pilipili kali unazoweza kula
Limao
Chumvi
Uduvi kikombe cha chai
Jinsi ya kupika
Osha...
Natumia karanga kama breakfast, lunch hadi dinner,
Natafuna ziwe mbichi, au kavu zote twende ingawa napendelea zaidi zilizokaangwa nashushia na maji,chai,juice au soda habari inakua imeisha
Utangulizi
Keki hutengenezwa kutokana na unga wa ngano, mafuta, mayai na vikolezo mbali mbali. Kuna Keki za aina mbalimbali kulingana na umbo, ukubwa vikolezo n.k. Aina za Keki pia hutegemea...
Kama ilivyo ada Leo ilikuwa siku nzuri ya kuonyeshana nani zaidi kwenye mapishi hasa msosi pendwa PILAU aka wali mchafu..
Haya fuatilia mapishi yangu yalivyokuwa..
MAHITAJI YA MAPISHI
1) MCHELE...
Kuna mengi hatuyajui na mengine tunafanya tu bila kuelewa athari zake, kubwa na ndogo. Ulishawahi kula kwa mfano nyama ya ngo'mbe hasa hizi za supermarket? Ambazo ni mahususi kwa ajili ya kufugwa...
Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.