Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu, Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike...
4 Reactions
85 Replies
8K Views
Naomba nifundishwe kupika chai. nahita nijuie kupika kila aina ya chai. iwe ya rangi au maziwa. vilevile nahitaji kujua viungo vinavyo hitajika. ni hayo tu. mia
0 Reactions
17 Replies
22K Views
Habari wapendwa, Mimi ni mwenyeji wa Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga,tarafa ya Ugweno. Napenda kuwafundisha pishi la kiburu na kiombo kwa kipare. Pishi hili linahitaji ndizi...
1 Reactions
3 Replies
739 Views
Wapendwa polen na majukumu, nina sufuria za aluminium kampuni ya Andalus, sufuria hizi zikipata moshi au masizi ni namna Gani au kifaa gani kinafaa kusafishia Ili zibaki katika mng'ao wake?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kweli ugali(Unga na maji ) ni chakula duni sana. Tujifunze hapa tuachane na habari za ugali.
1 Reactions
0 Replies
501 Views
Hellow wakuu, Hivi mamlaka ya chakula na dawa Tanzania ilishawahi kukataza matumizi ya kiungo cha jikoni kinachoitwa Ajina Moto? Mwenye uhakika tafadhali anijuze.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibuni tena jikoni kwetu. Katika pitapita mitandaoni tulikutana na mapishi haya ya cupcakes (wengine wanaita 'queen cakes'). Recipe iliyotuvutia zaidi ni hii ya kutengeneza 'dough' moja kisha...
19 Reactions
58 Replies
13K Views
Habari zenu nyote, Natafuta Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu mmoja mmoja. Napika lakini siyo siku zote kutokana na majukumu ya kazi...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Mahitaji:- Kilo moja ya maini Vitunguu vikubwa 2 Nyanya kubwa 2 Hihi 1 Carrot 1. Ndizi 2 Viazi vikubwa 2
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mko poa familia, Jamani nina hamu na chipsi vuruga leo hatari, ila sijui kuziandaa. Sitaki kwenda kununua naombeni kuelekezwa ili niandae mwenyewe. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Mko poa? Salaam, Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama...
4 Reactions
7 Replies
899 Views
Utamu wa nyama ya nguruwe usikie tu ila ndio nyama ukifuga ukosi soko. Nyama ya nguruwe huko kwa Putin inapendwa sana na China ukilinganisha na nyama zengine. Sehemu zisizo na ufagaji wa ng'ombe...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari wana jf katika maisha yangu ya kujichanganya na wapishi na kufatilia makala ya wapishi nimepita sehemu mmoja nikakuta hizi cookies za bangi /cannabis sasa nikawa najiuliza hapa kwetu bongo...
3 Reactions
39 Replies
13K Views
Mapishi ya firigisi za kuku Mahitaji Firigisi za kuku gramu 200, pilipili mboga moja, tangawizi gramu 5, pilipili manga gramu 2, vitunguu saumu gramu 5, mchuzi wa chaza gramu 5 Njia 1. chemsha...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilipika pilau na leo napika white sauce inayosindikiza pilau au chakula kingine chochote kinachohitaji mchuzi. Kama kawaida ukitaka kuangalia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Hali zenu wana mapishi, natumai mpo salama. Wiki iliyopita nilionyesha namna nilivyopika biskuti za tangawizi. Leo nawashirikisha namna ya kupika pilau ya nyama na kachumbari. Hiki chakula...
8 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za Jumamosi wakuu, natumai mpo salama. Leo nawaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Ukipenda kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza...
15 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote. Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye...
3 Reactions
32 Replies
10K Views
Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho. Chakula kama hicho watu hula kujaza...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom