Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu kwema? Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi. Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Nimetoka mishe mishe zangu huko baada ya safari nikaulizia wapi naweza kupata nyama/kuku choma wapambe wakaniambia wahi City Garden, iliyopo sehemu zamani maarufu kama Mafiati. Pamoja na kabaridi...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
LAT recipe hii hapa. . . Ntajitahidi niweke picha haraka iwezekanavyo kwasababu zitakuonyesha kila kitu kinavyotakiwa kufanyika na namna gani vionekane which is quite important. Mlo wa watu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Humu kuna wanaume mnajipikia msosi?? Katika vitu vitakavyofanya nioe mapema mojawapo ni hili la mapishi! Mimi kila nikipika wali lazima uwe mbichi aidha uungue[emoji848] yaani nikiweka moto...
2 Reactions
8 Replies
846 Views
Coconut Meat Curry Nyama - ½ Kg Curry Powder - 2tsp Ndimu - 2 Grated Ginger - 2 Mafuta - 3tbsp Vitunguu Maji - 2 Big (Ungraded) Pili Pili Boga - 3 Big Pili Pili Nzima - 3 Nazi Ya Kopo - 1/4Ltr...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tupia pic ya chakula pendwa usichokikinai daily... Kwangu mimi Ugali nyama mix mboga za majani Yummy
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Haya tena jamani leo nataka tujifunze namna ya kuandaa unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu. Ningeomba sana kanuni nitakayo itumia hapa basi kila mmoja airekebishe kulingana na jinsi...
4 Reactions
41 Replies
141K Views
Wadau wa jukwaa hili naombeni utaalamu wenu kuntu, hatua kwa hatua ya namna bora ya kupika tambi zikawa hazikatiki katiki wala kushikamana kama wali. Zikawa nzuri na wakati wa kula unaweza...
3 Reactions
242 Replies
265K Views
Kwetu tulikua tunaita kijogoo
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Ugali wa muhogo na dagaa za kiswazi na tembele Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Chapati za kusukuma ni pishi ambalo limekuwa changamoto kwa watu wengi, mtu anajitahidi alkini mwisho wa siku anatoa chapati ngumu na imesimama kama sinia😂🤣. Mbinu ninayotumia...
18 Reactions
141 Replies
9K Views
Mara Nyingi Niwapo Kwenye Shughuli Zangu Za Kutafuta Riziki Lazma Nitumie Chakula cha Mama Ntilie Alie Karibu na Kazi Yangu! Au Naweza Agiza Mtandaoni Pia ! Sijawai Pata Elimu Nzuri Kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari za humu,naomba kujua ni nini huwa wanaweka kwenye juice inavyokuwa imetengenezwa hata ikae muda mrefu kama miezi hata mitatu miwili,idea yangu nataka kuanzisha kiwanda cha kupack...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Peace be upon you all sons of Zion, Nimepita na kuishi mikoa mingi ila nikiri kwa ulaji wa nyama Arusha ni kinara. Bila kua na takwinu rasmi lakini nadiriki kusema nyama inayoliwa Arusha inaweza...
1 Reactions
3 Replies
610 Views
Wazima vijana wenzangu kwa wazee? Kutokana naukweli kwamba wanga si mzuri natujitaidi kuupiga vita... binafsi nimeona kabisa naelekea pabaya,mpaka nishibe basi ni unga robo tatu wa dona na kilo...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Naona ni usiku ila lengo langu la kuleta uzi naomba niliweke wazi. Wengi tunapenda kunywa maji ya moto asubuhi ama jioni, ili kupasha tumbo kabla ya chakula kigumu. Wengi machaguo yetu huangukia...
2 Reactions
110 Replies
3K Views
Wakuu, Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika. Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu...
10 Reactions
144 Replies
21K Views
Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Wasalaam, Naomba kusaidiwa ni wapi naweza pata kitimoto iliyorostiwa vizuri kwa Mwanza?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom