Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu
Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze
MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu...
Wazee wa maakuli kwema?
Naomba tutumie uzi huu kuweka recipes mbalimbali za juice tupate vinywaji amazing kipindi hiki cha sikukuu.
Ili kufanya juice yangu iwe bomba huwa nafanya haya katika...
1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha...
Hii...safi sana...Mimi napenda sana juice...kama kuna mwenye kujua aina mbali mbali za ku'blend'' tafadhari tujuzane.
Asante sana.
juisi ya rozella
jinsi ya kutengeneza
1. chemsha...
The Spice of Life: Unveiling the Hidden Powers of Culinary Herbs and Spices
For as long as humans have been cooking, herbs and spices have been our trusty companions in the kitchen. More than...
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini?
Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu...
I hope mko vyema
Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana
Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani
LEMONADE MOCKTAIL mahitaji:
Glass 1
Msukumio au...
Ni vyema ukawa na kawaida ya kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali nyumbani kwako ili ikusaidie pale unapotaka kupika. Haipendezi kila unapotaka kupika basi unaenda dukani au gengeni kununua kitu...
Kuna baadhi ya watu wanapikia nazi kila chakula, yani chakula hawawezi kupika au kula bila kuweka nazi.
Unaweza kukua katika mlo mmoja amepika wala wa nazi, nyama ina nazi, maharage ya nazi na...
Habari, natumaini nyote mko poa
Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote.
Moja kwa moja niingie jikoni
MAANDALIZI.
kitunguu thoumu
Tangawizi
pilipili manga ya unga
binzari...
Natumaini mkopoa
Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi
Mahitaji
Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na...
MAHITAJI
(kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10)
Maji lita 7
Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote)
Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na...
VYAKULA 7 VITAKAVYOMFANYA MTOTO WAKO AWE NA AKILI ZAIDI
Umuhimu wa lishe bora kwa mtoto sio katika kujenga mwili tu bali na afya bora ya akili. Mtoto mwenye afya bora ya akili ni mchangamfu na...
Habari wadau,
Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
Sehemu ya Kwanza: Kupika Keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji
Kukusanya Vifaa:
Kwa njia hii, tutahitaji bakuli kubwa, kijiko, bakuli la kuchanganyia, na vifaa vingine vya kienyeji kama vile bakuli...
Habari wazee wa masotojo,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake.
Basi akachukua maembe na...
Asante kwa kujiunga nasi leo! Leo, tutajifunza jinsi ya kupika keki kwa njia mbili tofauti: kwa kutumia mikono na zana za kienyeji, na kwa kutumia vifaa na mashine za kisasa. Kila njia ina sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.