Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu...
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu...
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
Kwa kiingereza tungeita street food festival).
Hizi karamu sio za msimu bali zimekuwa sehemu ya maisha ya watu daily uswahilini, usijali sana ubora na usalama wake, vina ladha yake fulani...
Naamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji!
Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi.
Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500.
Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni...
Curry si lazima iwe na viungo vyovyote vya kusagwa bali huwa na pilipili hoho, karafuu, maganda ya iliki, vijiti vya mdalasini, karafuu, na pilipili.asili yake west asia
Neno Masala, kwa upande...
Kwangu mambo yote ni shega tu!
Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!.
Yawezekana tumefanyiwa tu fitina.
Ina maana hawa waliotoa haka ka...
Kwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo.
Ni mara chache nno kuona chakula...
Nafikir mna Weeknd nzuri sana nduguzangu
Leo tupike ndiz nyama za Nazi
Mahitaji
Ndizi mbichi mzuzu
Kitunguu nyanya moja(Huwa haipendez kutumia nyanya nyingi)
Karot na hoho
Nyama...
Pweza wanaouzwa mtaani mara nyingi huandaliwa kwa njia za kiasili, ambazo ni rahisi na zinazojulikana katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki, hasa Tanzania. Kwa kawaida, hawa pweza...
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini...
Mwezi uliopita nilinunua Mayai thelethini ya kuku wa kienyeji.
Kwa ajili ya kula.
Nimetumia mayai kama 10. Halafu ukapita muda kama wiki. Bila kula mayai.
Juzi nikachukua kuchemsha, naona ni...
Nimenunua njugumawe nusu kilo.
Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400
Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku...
MAHITAJI
1.Njugu mawe robo kilo
2.Nazi 1
3.Hiliki punje 10
4.Sukari vijiko vya chakula 5
5.Custard kijiko cha chakula kimoja
6.Arki (Vanilla)kijiko cha chai 1
7.Chumvi kiduchu
MAANDALIZI
1.Chagua...
Wanabodi,
Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri.
Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling...
Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho...
Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari.
Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.