Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku? Yaani eti anakula matunda tu analala! Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu. Saa 2 nikala...
35 Reactions
78 Replies
10K Views
Habari Zenu natumai mko poa, Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kua natafuta hotel yoyote iliyopo Arusha inayotoa mafunzo ya kupika Kwa ada nafuu sitaki chuo Kwa kua hawafundishi practically...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakubwa naomba kujuzwa kama inawezekana kusaga nazi kwa blender au ukifanya hivyo blender inakufa?
2 Reactions
27 Replies
10K Views
Hellow wapendwa poleni na majukumu ya siku nzima ya leo,,, Nitashare nanyi baadhi ya aina ya vyakula/ tiba lishe ambavyo(yo) mimi huvitumia ,/nisivyovitumia; 1.sili ugali /wali/(vyakula vya wanga...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Sikujua kama ukipika mseto wa dagaa na mboga za majani hususan tembele na uweke na karoti ni tamu balaa. Au nyama na mnafu na karoti utaipenda. Woiii nyanya nishaanza kusahau kabisa. Sent using...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Nikiwa Tanga mwaka jana nilisikia kuhusu kinywaji kiitwacho Al-Kasusu. Nilinunua na kunywa kinywaji hicho na kukuta ni kweli kinachangamsha. Nilijaribu kuulizia kinavyotengezwa nikaambiwa na wale...
1 Reactions
2 Replies
10K Views
Mahitaji Ukwaju 2 paketi Chumvi kiasi Tende 1/4 kikombe Pilipili mbichi 1 Namna ya kutayarisha Toa kokwa ukwaju kisha roweka na maji moto. Chambua tende utoe kokwa weka kando. Tia vitu vyote...
3 Reactions
13 Replies
8K Views
Kinywaji cha viungo: Hiki ni kinywaji chochote ambacho kimetengenezwa kwa kuwekwa viungo. Kinywaji hiki kinaweza kuwa cha moto au cha baridi. Kinywaji cha baridi kinapotengenezwa, yatumike maji...
5 Reactions
9 Replies
24K Views
Habarini Wakuu. Leo nataka tupeane mawili matatu ya namna ya kupika kwa kutumia nazi hapa haijalishi nazi iwe ni ile ya kukuna mwenyewe au zile zinazouzwa madukani. - Je unaandaa tui lako katika...
27 Reactions
331 Replies
28K Views
Habarini Wakuu. Ni muda kidogo kuna nyumba moja niliwahi kufika, hiyo nyumba si nyumba kubwa sana ila sebule ni kubwa hivyo mwenye nyumba akaamua kutenga sehemu ambacho ameweka meza ya kulia...
9 Reactions
42 Replies
14K Views
NAMNA YA KUPIKA DAGAA+NYANYA CHUNGU+NAZI: RURAL OR URBAN STYLE Hawa ni wale dagaa wa kigoma lakini wadogo wadogo sana, wachambue vizuri kwa kiasi utakacho kupika, halafu uwaoshe vizurii wasiwe na...
7 Reactions
26 Replies
41K Views
Mahitaji Nyama ya ng’ombe 1/2 kilo Maini 1/2 kilo Figo 1/2 kilo Vitunguu viwili vikubwa Pilipili hoho tatu Pilipili kali unazoweza kula Limao Chumvi Uduvi kikombe cha chai Jinsi ya kupika Osha...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Natumia karanga kama breakfast, lunch hadi dinner, Natafuna ziwe mbichi, au kavu zote twende ingawa napendelea zaidi zilizokaangwa nashushia na maji,chai,juice au soda habari inakua imeisha
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Naomba msaada kwa yoyote ajuae jins ya kutengeneza fondant
0 Reactions
16 Replies
21K Views
Utangulizi Keki hutengenezwa kutokana na unga wa ngano, mafuta, mayai na vikolezo mbali mbali. Kuna Keki za aina mbalimbali kulingana na umbo, ukubwa vikolezo n.k. Aina za Keki pia hutegemea...
4 Reactions
3 Replies
27K Views
Kama ilivyo ada Leo ilikuwa siku nzuri ya kuonyeshana nani zaidi kwenye mapishi hasa msosi pendwa PILAU aka wali mchafu.. Haya fuatilia mapishi yangu yalivyokuwa.. MAHITAJI YA MAPISHI 1) MCHELE...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mengi hatuyajui na mengine tunafanya tu bila kuelewa athari zake, kubwa na ndogo. Ulishawahi kula kwa mfano nyama ya ngo'mbe hasa hizi za supermarket? Ambazo ni mahususi kwa ajili ya kufugwa...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…