Ila twende mbele na kurudi nyuma. Jamani kuna chapati tamu sana. Dodoma kuna kampuni ya catering inafanya huduma zake pale Treasury Square!
Kwa Chapati kama zile, binafsi naweza kutumia 1.1...
Habarini wana Jamvi.
Aki nimetoka kufunga swaumu imenishape kwakweli. Mana nilikua nimefura tumbo iko kama meneja wa epa kitu sio poa kwa kijana kama mimi. Hata nikajaribu ku excise but do zangu...
Kwa wale vijana wa kiume na wakike ambao huwa mnapika chapati za kumimina simple simple yaani chapati unakula lakini hata ladha huifurahii.
Hebu pitia hizi njia hapa then utakuja kunishukuru...
Mahitaji
1. Sukari vikombe 2
2. Maji vikombe 2
3. Nusu kikombe unga wa ubuyu
4. Vikombe 4 ubuyu wenyewe
5. 1/4 pili pili ya unga
6. 1/4 tsp chumvi
7. 1/4 tsp iliki ya unga
8. Rangi nyekundu...
Niliangalia jinsi wapishi wa Mtwara, Lindi, Morogoro walivyokuja na vitu asilia nikaangalia promo anayoitoa chef cook Mr Urio ,nawahakikishia mshindi wa kwenda South Africa kati ya wanne wawili au...
Mahitaji:
Ndizi za kupika(ndizi bukoba) kubwa 5.Menya,kata katikati ukipenda
Viazi ulaya 4 vikubwa.kata katikati kwa urefu
Nyama kilo 1.chemsha adi iive
Nyanya 4 kubwa.sugua au saga
Nyanya ya...
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama nipo jukwaa sahihi au lah.
Naomba kuuliza kama kuongeza sukari kwenye maziwa fresh hauwezi kupunguza ubora wa maziwa?
Kwan hata maziwa mgando yakiwa yameganda kabisaa ukiweka tu sukari...
Habari wana JF Chef....
Kuna hii mada nimekutana nayo nikaona ni vyema nikashare nanyi... Ni ndefu ila ina ujumbe mzuri sana!!! Karibuni
Najua wengi mnaifaham Baking soda au Bicarbonate of soda...
Bamia za kukaanga na mafuta,Hapo naongeza na nyanya.
Mimi hupenda na Ugali.
Bamia za Kuchemsha[Mrenda]
Waungwana hivi ni kwanini mboga hii ya Bamia Wanaume wengi Hawali/Hawaipendi? Jee...
Ninasoma saana humu ila mwezenu napenda kula local food
Mfano chai nasindikiza na maboga mamung'unya mahindi ya kuchemsha viazi Karanga nk
Kwa kawaida hivi hua vinahitaji maji tuu chumvi mzigo...
Habari za muda huu wana JF.
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema hadi muda huu.
Napenda kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioondokewa na wapendwa wao...
wakuu habari za jumapili nilkuwa nauliza hivi pressure cooker isiyotumia umeme ipi nzuri kati ile ya mshikio mmoja na ile yenye mishikio miwili ina filimbi mbili na ipi imara sasa me ninayo hii ya...
Jamani mimi ni mweupe kabisa kwenye kupika, hivyo basi naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa pilau zuri maana nategemea kuanza kuishi geto hivi karibuni asanteni
Wananzengo bila kupoteza muda poleni na Na Majukumu yenu Ningeomba kujua ni kwa Maeneo ya MOSHI & DAR ni Sehem gani (Organization) Wanatoa FIELD Assistance nzuri kwa Career ya Human Resource...