Watu wa Dar karibuni.
Ukipata Hii Kitu roho inafurahia sana.
Likizo Yangu Yote naitumia kula chakula cha asilia Nikirudi Huko Nido nianze kukimbizana na supu ya pweza, mahidni ya kuchoma yenye...
Za kazi wakuu.
Napenda sana vyakula vitamu ila sijui kupika.
Leo nataka nianza na chapatti flani amazing, Hizi chapatti zinakua ni laini, nene, zina rangi nzuri ya brown kutokana na zimepikwa...
Wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua vipimo Kwa ajili ya cake ya biashara nikimaanisha cake za kuuza madukani, super markets na kathalika.
Na nini niweke ili iweze kaa MDA mrefu bila...
Maandalizi; dakika 15
Muda wa kumarinate; dakika 15
Muda wa kupika; dakika 8
Muda jumla; dakika 38
Mahitaji
Kupata uhakika na kutumia viungo sahihi, endapo jina la kiungo limewekewa mstari, bofya...
Hello ladies and gents
Natafuta mpishi wa bites kama sambusa,vitumbua,andazi na chapati na vinginenvyo. Kazi ipo dar es salam,kama kuna mtu yupo tayari ama kunna mtu unamfaham tuwasiliane. +255736...
Mapishi ya Samaki Wabichi Chukuchuku
Samaki wabishi wawili
Kitunguu saumu kimoja
Kitunguu maji kimoja
Nyanya mbili kubwa
Tangawizi kidogo
Ndimu mbili
Pilipili ndefu (nyekundu) moja
Chumvi half...
Leo jikoni tunaangalia mapishi ya mchemsho wa samaki. Mchemsho huu ni kwa ajili ya watu wawili.
Mahitaji
. Samaki wakubwa kiasi 2 (Hapa natumia changu)
. Viazi mviringo 5
. Bamia, karoti...
Mahitaji
Nyama ya kusaga robo...ichemshe na kuweka spices upendazo
Mayai 5-6 inategemea na ukubwa..
Pilipili hoho kipande
Karot 1 ndogo ipare iwe ndogo ndogo
Chumvi kiasi
Kitunguu saumu 1/2...
Mahitaji
Ndizi zilozowiva (mkono wa tembo au mzuzu) 4-5
Hiliki nusu kijiko cha chai
Sukari 1 tablespoon (sio lazima)
Tui bubu kiasi
Tui jepesi kiasi
Custard kijiko kimoja cha kulia...
Habari yenu Wakuu,
Katika vyakula vinavyoongelewa na watu wengi ila mimi sielewi, ni hiki chakula kinaitwa Pizza. Hivi piza ina nini cha ziada? Nalijaribu kula mara sita sehemu tofauti hapa Dar...
Habar zenu
Natumain wazima woote
Leo tujifunze kutangaza pilipili rahc zaid,ya haraka na itakayokaa kwa muda mrefu bila hata kuweka kwenye frige
Mahitaji
Pilipili unazohitaji ww
Nyanya fresh 5...
Jinsi ya kupika chapati za nazi na nido - JamiiForums
MAHITAJI
Unga wa ngano 1kg
Maziwa ya nido vijiko viwili vya chakula
Blue band vijiko viwili vya chakula
Mafuta ya kupikia nusu lita
Nazi...