Pana utafiti uliisha fanywa kuwa kutumia mifuko ya plastiki kufunikia wakati wa kupika ni hatari kwa afya. Lakini hapa Dar mama lishe wengi wanaitumia katika kupikia vyakula. Hivi mamlaka husika...
Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki...
Weekend hii nilimpumzisha dada kupika nikaingia jikoni mwenyewe. Dada wangu wa kazi anajua kupika hivyo mara nyingi namuachia apike yeye. Jana nilipika biriani ya nyama nikasahau picha. Leo jioni...
Habarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.
Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona...
Habari wanajf nimekuwa nikijaribu kupika lakini naishia kupika bokoboko sasa nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kupika wali vizuri kama wa hotelini yaan nisaidieni please.
Nimechoka kulishwa nazi na Bakhresa za kiwandani. Nataka nazi original toka shamba mnazini. Tatizo lipo ktk ukunaji wa iyo nazi ili kupata tui.
Vipi naweza kutumia utaalam na kifaa gani...
Habari wana jamii forums
Kwa anayejua kutengeneza ice cream naomba msaada.Sio hizi local za ubuyu na ukwaju .Nataka zile za kupima.kwa yeyote anayefahamu anisaidie
Mahitaji:
Nyama ya ng'ombe
Ndizi mbichi
Kitunguu maji
Mafuta ya kupikia
Blue band / Tanbond
Chumvi kiasi
Namna ya Kupika
Katakata nyama na kisha iweke kwenye sufuria yenye maji kidogo na chumvi...
Helo wapendwa wa madikodiko
Ngoja niwapeni siri moja
Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani. Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati. Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi...
Jameni,siku hizi nimekua nachukua video za you tube najipikilisha keki kwa ajili ya watoto na ili dada wangu wa nyumbani nae ajifunze kupika keki.(inaeza kuja kimsaidia mbeleni) ila wote wanafunzi...
Habari zenu wadau?
Mimi nilikuwa napenda kufahamu ungependa upate viungo gani vya chakula ambavyo vimeshaandalliwa na kufungashwa ili kurahisisha mapishi yako. yani nipe mawazo yako ni viungo...
MAGIMBI YA NAZI
MAHITAJI
1. Magimbi
2. Nyama
3. Nazi
4. Nyanya za mchuzi(Tungule)
5. Kerot
6. Pilipili Boga (Pilipili hoho)
7. Kitunguu maji
8. Kitunguu thomu
9. Tangawizi
10. Nyanya ya paket
11...
Muhogo wa nazi,vitumbua, chai ya kichwa, wali wa nazi, mchuzi chukuchuku,mkate wa maji, mkate wa kumimina, vibibi, uji wa pilipili, uji wa muhog, maandazi, mahamri, tambia, maharage, juis ya...
Wakuu kwanza samahanini,nimetafuta jukwaa la mapishi sijaliona.Naomba mtu yeyote anayejua kutengeneza bagia kwa unga wa dengu anijuze.Je unachanganya na nini na uanakorogaje,pia unasubiri muda...
Heri ya Pasaka wana JF
Nimezoea miaka yote siku za sikukuu kama hizi naalikwa na ndugu,jamaa na marafiki kwenda kula nao sikukuu ila hali imekuwa tofauti pasaka hii, mpaka sasa sijapata mwaliko...
Leo nahitaji kushiriki nanyi chakula ambacho mara nyingi mama yangu amekuwa akipenda kutupikia kimekuwa kama ni chakula cha kifamilia na akiweka secret ingredients ambayo hiyo sitoitaja maana...
Hii ndio yangu kwa leo:
Mahitaji;
500 gm spaghet
200gm or 8 pieces of lady finger fruiit cust into halves
300gm or 4 pieces of tomato fruit make into paste
Onion cut into slices
food...